Njia ya mkojo inawasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia ya mkojo inawasha

Discussion in 'JF Doctor' started by Raia Fulani, Aug 22, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wadau nina hili tatizo la kuwashwa njia ya mkojo. Pia wakati wa kukojoa nina maumivu wakati fulani. Nielekezeni kwa urologist mzuri tafadhali
   
 2. 2my

  2my JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole kwa tatizo!!!usikate tamaa endelea kuwaona doctors tofauti will help u!!!
  so km hujado long time unatakaje?
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ikate tuu:becky::becky:
  mwaya wahi sipitali
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  weweee!!! atachomoza kwenye monitor yako, ohooooooo
  huo ushauri wako!!!
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  POLE SANA......! (nami nime-edit ili kuondoa hoja ya mwanzo....editing hii si nzuri kwani inamfanya mchangiaji aonekane ****)
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hata si gono wala kaswende
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sasa Kingi, kumbe unajua hilo tatizo siyo?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Maumivu yameanza lini? Inawezekana ukawa na urinary tract infection (UTI)...harakisha ukamwone tabibu
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unajua, nimeshawaona ila nadhani sijapata tiba sahihi ndo maana nahitaji kumpata urologist
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  chief, najua sina hayo magonjwa bali najua nina tatizo kwenye njia ya mkojo ila ufumbuzi ndo sijapata. Pia sio serious kivile ila ni muhimu kuwa mzima
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hebu eleza kwa kina una washwa wakati gani baada ya kunywa maji, usiku, asubuhi au mchana na unawashwa unapomalizia kukojoa tone la mwisho na je ni maumivu makali au ya kawaida? Hii inaelekea una dalili za prostate cancer! na je umri wako ni kiasi gani?
   
 12. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mfunyukuzi!! Usimtishe mwenzio,ushauri uliompa ni mzuri akinywa sana maji anaweza pia kukojoa sana,na hivyo kuiflash njia ya mkojo kitu ambacho kinaweza kumsaidia pia,lakini,bado hajafikia kuwaza urologist kwani yawezekana ni UTI ambayo can be solved kwa gharama ndogo tena bila hata delay ya appointment kwa urologist. Prostate cancer ni abit complicated,age,normaly above 50 with few exceptions below that age,kuna urine retention pia kama one of the signs na tabu nyingi tu.Akapime mkojo ajue kuna nini
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pia mkuu angalia isikute unafanya masterbation na unatumia sabuni za mbuni/khanga ikiingia inamadhara kama hayo
   
 14. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asiogope sana kwani Prostate Cancer inatibika na hata huo muwasho unatibika pia. Nashauri atutumie food supplement aina ya Omega 3, Nature Min na juice ya Aloe vera aina ya Berry Necta. Kwa msaada zaidi waliana nami byongje@gmail.com
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,126
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  mkuu nenda hopspital hapa utapata waganga wa kienyeji tupu
  watakueleza nini cha kufanya ukipata matokeo kuna mawili yawezekana\gono/kisonono/ila ungeweka imechukua muda gani kujua na kuwa nao maana gono aidanganyi...live usaa 2days kama imekupendelea ukikutwa hiyo piga sindano moja wanajua wenyewe basiiiiiiiii
   
 16. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  lakini mwanzo kabla huja-edit maelezo yalikuwa yanajitosheleza
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana kwa maoni yenu wadau. Nitayafanyia kazi
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  pole kwa usumbufu, chief
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu zaidi ni mwasho nyakati fulani. Pia mkojo huuma kwa mbali nyakati fulani pia. Mfano muda huu shwaari. Pia tone la mwisho halina athari yoyote. Umri ni earl 30s.
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sitaki kufikiria hiyo kansa kwani kwa mujibu wa yule dk mhanga wa 50+, umri ni kigezo muhimu. Nitakucheki kwenye PM mkuu
   
Loading...