Njia ya makaburini

Menejaben

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
707
Reaction score
671
Nimepita shortcut makaburini nikakutana na tudemu tuwili tukasema tunaogopa....
Nikatuambia hata mimi nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa.... Guess what happened..!
 
Kwa misuli ulokuwa nayo Bolo itakuwa uliwasindikiza mpaka wakakatiza makaburini
 
Kwa misuli ulokuwa nayo Bolo itakuwa uliwasindikiza mpaka wakakatiza makaburini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji57] [emoji3]
 
kuna gari la wagonjwa linaingia hapa hospital nadhani watakuwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…