mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Nawasilisha hoja kama ifuatavyo.
Kumekuwa kuna wimbi kubwa la watu kutapeliwa kila wanaponunua viwanja, nyumba ambazo hazijaisha, mashamba n.k.
Pamoja na kwamba maeneo husika yanapotokea matukio kama haya huwa kuna viongozi kama wenyeviti wa mitaa au vijiji, wajumbe wa mitaa au vijiji, watendaji wa mitaa au vijiji n.k
Inafika kipindi kiwanja kinaweza kuuzwa kwa watu zaidi ya 5 kwa wakati mmoja kwa kupitia dalali, rafiki, ndugu, jirani n.k ambapo inapekelekea mgongano mkubwa wa kisheria na hata vifo kwenye eneo husika.
Sasa wanajamvi
1. nini kifanyike ili kuweza kuepuka hayo mambo?
2. Kiongozi gani wa mtaa, kijiji, kata, tarafa au wilaya ndio mhusika mkuu pindi inapotokea kuhamisha umiliki wa ardhi ili kuepuka migongano?
3.sheria ya ardhi inasemaje kuhusu kuhamisha umiliki wa ardhi baada ya kuuzwa?
4.ni nyaraka gani mnunuzi anatakiwa apewe na mmiliki wa ardhi husika ili awe salama baada ya kununua hiyo ardhi?
Hayo ni machache ila mwingine anaweza akaongezea maswali mengine ili tuweze kuepuka hayo matatizo yanayopelekea kupoteza ela zetu, mda na hadi wakati mwingine kusababisha vifo.
Nawasilisha kwenu