GreatNataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo. Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana kazi za kufanya au wengine tunaona kwamba ni wao tu ndo wanapaswa kufanya vitu hivyo, sivyo. Sasa nakuhimiza ukitaka ukomae kwenye programming anzisha project yoyote unapopata free time hata kama haina maana au hata kama watu wataidharau lakini lazima utakuwa umeongeza kitu fulani pale unapostruggle. Mimi mwenyewe bado ni wakawaida kwenye programming lakini nimetengeneza viprojects vingi ili kukuza programming. Hiyo screenshot ni mfano wa game langu la kujiongezea kasi ya kuchapa (typing game) kwenye kibodi ya kompyuta. Toleo la kwanza la game hili nililitengeneza mwaka 2017 for personal use na nilitumia Java Programming language (Sources codes za toleo hili zipo GitHub for reference) kisha nikalipotezea muda mrefu na lilikuwa na kasoro nyingi. Baada ya hapo nililibadilisha hivi karibuni (kuanzia toleo 2.00+) kuwa programmed katika C++ programming language, na nililiboresha zaidi nikaongeza features zingine zikiwemo:
Advanced layout-resizing, custom characters etc.
View attachment 2386186
Game hili halihitaji installation na ni dogo takribani 1 MB. Lina ligha mbili Kiswahili na Kiingereza.
Nataka kuwaambia tu kwamba msikate tamaa, ni kweli hivi vitu hapa Tz vinachangamoto hasa katika mafanikio lakini kama umependa unaweza komaa nacho huku unaendelea na mambo mengine pia. Ahsanteni.
GitHub link: GitHub - Yphware/HChapa: HChapa - The free Java typing game
Ok kumbe machine learning na artificial intelligence ni tofauti na kufanya programming et?🤔🤔🤔🤔Programming inakaribia mwisho na sio siku nyingi itakuwa useless, kama una uwezo na nafasi kasome machine learning or artificial intelligence in general
comment ya ovyo kabisa kupata kutokea tangu 1997Programming inakaribia mwisho na sio siku nyingi itakuwa useless, kama una uwezo na nafasi kasome machine learning or artificial intelligence in general
Ni vitu viwili tofauti kabisa, programming is about creating instructions (algorithm) , AI is about learning and problem solving like human, kasome zaidi tofauti zake utaelewaOk kumbe machine learning na artificial intelligence ni tofauti na kufanya programming et?🤔🤔🤔🤔
Sawa boss lakini unaonekana wewe ndio huelewi chochote, pole sanacomment ya ovyo kabisa kupata kutokea tangu 1997
Kwamba programming na artificial intelligence ni mbingu na ardhi 🤣🤣🤣🤣comment ya ovyo kabisa kupata kutokea tangu 1997
Hata hizo Al zinatumia algorithm perform kazi mbalimbali na hizo algorithm zimekuwa coding by different programming languages.Ni vitu viwili tofauti kabisa, programming is about creating instructions (algorithm) , AI is about learning and problem solving like human, kasome zaidi tofauti zake utaelewa
huyo jamaa Google inamharibu sanaHata hizo Al zinatumia algorithm perform kazi mbalimbali na hizo algorithm zimekuwa coding by different programming languages.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Ni kwel kabisa.huyo jamaa Google inamharibu sana
Huwezi kukamilisha AI bila kufanya coding , Al inategemea decision making IF statement.Huwezi kuita AI ni programming hata kama kuna languages or algo zinatumika in a process, AI is more than programming
we jamaa unakua kituko sasa, no offenseHuwezi kuita AI ni programming hata kama kuna languages or algo zinatumika in a process, AI is more than programming
programming is just a tool in AIHuwezi kukamilisha AI bila kufanya coding , Al inategemea decision making IF statement.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Writing algorithm ni step of solving problem, kasome solving problem on computer.Ni vitu viwili tofauti kabisa, programming is about creating instructions (algorithm) , AI is about learning and problem solving like human, kasome zaidi tofauti zake utaelewa
Programming refers to the process of creating instructions that a computer can execute to perform specific tasks. It involves writing code in a programming language, such as Python or Java, and using that code to build programs that can perform a wide range of functions.we jamaa unakua kituko sasa, no offense
unaijua Tensor Flow ? je unajua inatumika wapi ?
Tensor Flow ni library iliyo chini ya Google , kwa ajili ya ML , inatembea vizuri hasa kwenye Python kwa ajili ya high end processors , kuna Tensor Flow Lite inayotembea kwenye C/C++ kwa ajili ya low end processors
ML-driven Robots ( tasks zote kama machine vision, motion control, etc ) unazoziona nyingi zinatumia hiyo lib, na zinakua programmed kwa Python
kwa uchache tu