Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,411
Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo. Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru.
Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa kipi afanye ili kuanzisha biashara yaani anaweza kuwaza Leo kua afungue duka la kuuza nguo harafu kesho anawaza kuanzisha mgahawa.
Harafu baadae anaamua kuanza kuuza mkaa ila wakati anauza anaweza Tena Bora angekua anakimbiza hata bajaji.
Hiyo hutokea kisa kushindwa kuchagua kipi Bora, ila leo nataka kushare na wewe jinsi unavyo weza kuchagua biashara kwa itakayo kufaa.
Njia Ni rahisi Sana Ni kama ifuatazo.
Chukua siku kumi kulifanya hili Kama ifuatavyo;
1- Orodhesha biashara unazo penda kufanya( Orodhesha walau biashara kumi)
2-kama ulivyo Orodhesha tumia siku kumi kwa kila siku futa biashara moja yaani kwa maana kwamba hiyo hutaifanya.
Fanya hivyo kwa kufuta kila siku biashara moja hadi itakapo baki biashara moja.
3-biashara hiyo moja iliyo bakia baada ya kufuta Zote hiyo inaweza kufaa kwa sababu imezidi biashara zingine.
Hiyo njia husaidia kuchagua biashara ambayo Ni Nzuri kuzidi zingine. Mfululizo wa makala Kama hizi nitaendelea kukuletea Katika Jukwa hili.