Njia rahisi ya kukamilisha Financial Report kwa wakati hata bila ya kwenda ofisini

JAMII BORA

Member
Apr 18, 2017
78
58
Kama umeaminiwa na kukabidhiwa kitengo cha fedha, nguzo kuu ya kuthibitisha proffesionalism ni kuandaa ripoti ya fedha kwa wakati.

Muda wowote Line Manager wako anapotaka kujua status ya transaction zilitokea masaa yaliyopita, aone umezirekodi.

Lakini, kiuhalisia ofisini, kuna interference nyingi ikiwemo safari za benki na kwingineko, vikao, ugeni na dharura za kiubinadamu zitazosababisha usiingie ofisini kila siku.,hivyo kila wakati utakuwa nyuma ya taarifa na kutishia hadhi yako kushuka.

NINI SULUHISHO?
Sisi Drone Accounting Agency tumekuja na software ya kwanza na ya kipekee kwa Tanzania toka South Africa iitwayo sage one accounting yenye sifa zifuatazo:

1. Inatumia Internet(online software) hivyo hata computer yako ikipoteza ikicorrupt data, software hii haiathiriki kwani ipo cloud.

2. Kwa kuwa ni online, unaweza process data na kuangalia report popote ulipo,ukiwa na kifaa chochote chenye internet iwe simu, tablet au computer.

3. Ni rahisi kufuatilia ripoti za kila ofisi kwa kampuni zenye branch zaidi ya moja.

4. Bei yake ni nafuu mno $480 sawa na milioni moja ya kitanzania.

Kwa huduma za software zinazotatua changamoto zako ofisini na kuongeza ufanisi, wasiliana nasi:

0713039875
Drone Accounting Agency
Mbezi Mwisho, Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom