Njia Rahisi ya kujua sifa za Computer yako

Hauwezi kuandika mpaka tuingie YouTube???
Si unajua Voda University wamepandisha vifurushi
Hapo ndipo Wamiliki wengi wa channel za youtube wa bongo wanapochemka.

Wengi huzani wakiweka maelezo watu hawatoangalia video wakati hiyo ndio njia nzuri.

Mwisho wa siku watu tunadhani lengo lako ni kupata views na sio kutoa msaada na hivyo watu wanaipuzia thread na mwishowe nyuzi inapotea yenyewe.
 
Kushusha notes sio tatizo. Tatizo hiyo ni tutorial so ni practical one. Kuna step za kufata lazima mtu aone kwa vitendo
Acha mambo yako wewe...yani steps za kujua sifa ya pc yako ni kazi kuandika? Au unataka tukusaidie kuziweka hapa?
 
Fanya print screen wewe acha kulialia.....
Weka note na picha za hicho usemacho
1538630706384.jpeg
 
Acha mambo yako wewe...yani steps za kujua sifa ya pc yako ni kazi kuandika? Au unataka tukusaidie kuziweka hapa?
Sijakulazimisha kuangalia. Coz sijasema kuwa lazima uangalie.
 
Kushusha notes sio tatizo. Tatizo hiyo ni tutorial so ni practical one. Kuna step za kufata lazima mtu aone kwa vitendo
Duuh kama kuangalia sifa za kompyuta tu kuna step mpaka uangalie video yaan mzee umechemka.

Vp wale wanaopost thread za kuunda apps huku wakitoa maelekezo kwa picha, web designing, frp bypassing ambavyo vipo kipractical zaidi na bado wanaweka maelezo.
 
Right Click "My Computer", "This PC", "Computer" kutegemeana na windows os unayotumia kisha Click Properties.
 
Duuh kama kuangalia sifa za kompyuta tu kuna step mpaka uangalie video yaan mzee umechemka.

Vp wale wanaopost thread za kuunda apps huku wakitoa maelekezo kwa picha, web designing, frp bypassing ambavyo vipo kipractical zaidi na bado wanaweka maelezo.
Mkuu acha kulalamika hovyo, mbona video za ngono mnaangalia kwenye mitandao lakini video za mafunzo muhimu mnalalamika?? Badilika mkuu, kama unataka kujifunza ingia you tube na subscribe video za mshua na ujifunze. Kama hutaki kujifunza vitu vya maana basi endelea kupoteza bando lako kuangalia video za ngono.
 
Sawa
 
Hauwezi kuandika mpaka tuingie YouTube???
Si unajua Voda University wamepandisha vifurushi
Hapo ndipo Wamiliki wengi wa channel za youtube wa bongo wanapochemka.

Wengi huzani wakiweka maelezo watu hawatoangalia video wakati hiyo ndio njia nzuri.

Mwisho wa siku watu tunadhani lengo lako ni kupata views na sio kutoa msaada na hivyo watu wanaipuzia thread na mwishowe nyuzi inapotea yenyewe.
Kushusha notes sio tatizo. Tatizo hiyo ni tutorial so ni practical one. Kuna step za kufata lazima mtu aone kwa vitendo
Hapo naona tatizo viewers tu
 
Back
Top Bottom