Njia rahisi ya kudownload file lenye ukubwa wa GB 40 na kuendelea

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Habari zenu wakuu ningependa mnisaidie njia rahisi ya kudownload file
La torrent lenye ukubwa wa GB 40

Kwa mtandao wangu wa voda(3g) nimecheki naona itachukua siku 2 hadi file lote likamilike kuwa downloaded

Hivi haiwezekan nikadownload hili file la torrent kwa kutumia INTERNET DOWNLOAD MANAGER?
 
mkuu hujatueleza hiyo torrent ina ma-faili la aina gani ndani yake ni video, mziki au program nk

Habari zenu wakuu ningependa mnisaidie njia rahisi ya kudownload file
La torrent lenye ukubwa wa GB 40

Kwa mtandao wangu wa voda(3g) nimecheki naona itachukua siku 2 hadi file lote likamilike kuwa downloaded

Hivi haiwezekan nikadownload hili file la torrent kwa kutumia INTERNET DOWNLOAD MANAGER?
 
Tafuta contents za hyo fule then jaribu kudownload moja moja....au taja jina la hyo document/issue tukupe link nyingine udownload moja moja...and mind you...nothing is more then 40 gb halafu halina mafile ndani yake,gem lwnye 40gb lina kama mafile 200 na ushee ndani yake,so try to find the content then download moja moja
 
kama mafile yapo mengi katika hilo folder priotize udownload moja moja kulingana na ambayo unataka kutumia kwanza
 
Mkuu link ya hilo file ni hii hapa.. Lichek

magnet:?xt=urn:btih:77738FE7BC22700F45BD116E155E02F215BB66D6&tr=http%3A%2F%2Fbt2.t-ru.org%2Fann%3Fmagnet
 
kama mafile yapo mengi katika hilo folder priotize udownload moja moja kulingana na ambayo unataka kutumia kwanza
Dah mkuu yan file lenye afadhal lina gb 10 mengine yote yana gb 20 na lingine lina 10 na kitu.. Chel link hii hapa chin

magnet:?xt=urn:btih:77738FE7BC22700F45BD116E155E02F215BB66D6&tr=http%3A%2F%2Fbt2.t-ru.org%2Fann%3Fmagnet
 
:oops: Mkuu hapo huna namna zaidi ya kutumia torrent, ingawa unaweza kutumia download manager kudownload hilo file hamna tofauti kikubwa kumaliza/kutomaliza au muda wa kumaliza inategemea idadi ya seeders wa hilo file pamoja na bandwidth speed yao pamoja na ya kwako na kama torrent yako itakuwa on 24/7 au itakuwa on katika muda fulani tu.
Unaweza tumia free download manager ina plugin ya kudownload torrent
linki hii hapa : https://dn3.freedownloadmanager.org/5/5.1-latest/fdm5_x86_setup.exe
https://dn3.freedownloadmanager.org/5/5.1-latest/fdm5_x64_setup.exe

Dah mkuu yan file lenye afadhal lina gb 10 mengine yote yana gb 20 na lingine lina 10 na kitu.. Chel link hii hapa chin

magnet:?xt=urn:btih:77738FE7BC22700F45BD116E155E02F215BB66D6&tr=http%3A%2F%2Fbt2.t-ru.org%2Fann%3Fmagnet
 
-kama file lina seeder kidogo hata utumie nini haitasaidia

-kama seeder wapo na upo eneo la 4G ni vyema ukahamia 4G, kwa 4G masaa machache hilo linashuka.

pia unaweza ukatuma link ya kawaida ya http ambayo sio magnet niangalie content naweza kukusaidia kama kutakuwa na mahala pengine unaweza kulipata.
 
Unaweza ukatumia zbigz.com alaf una paste magnet link alaf itafanya catching utadownload kwa idm
 
Files streaming servers kama Zbig Filestream nk hazisaidii kama file lenyewe ni kubwa kiasi hicho unless umenunua premium account kwa kuwa maximum support ya file kwa free account ni wastani wa 1gb. Na inachokusaidia ni kupata hilo file kutoka kwenye chanzo haraka kama seeders wapo. ikikamilika litahifadhi file hilo kwa siku kadhaa kabla ya kufutwa.Baada ya hapo itakuwa ni jukumu lako kudownload kabla muda huo haujapita.
Tatizo
1.file husika ni kubwa sana kwa connection zetu za kibongo ni ishu muda wa kudownload unaweza kuwa mrefu au usimalize kabisa
2.Ili uweze kudownload file la ukubwa huo unahitaji connection yenye speed kubwa isiyokatakata kama Vodacom
3.Gharama za bundle kwa mtandao kama voda zinaweza kuwa kubwa sana
4.Connection zetu zinatumia dynamic ip so ip address ikibadilika file linawezakwama ikakubidi uanze upya au urefresh link inategemea kama mhusika ni mjuzi wa mambo haya au la
Ushauri
Kama sio file muhimu sana unahitaji kwa ajili ya matumizi binafsi sio kikazi au kitaaluma tumia torrent kudownload polepole kwa wakati wako mpaka file litakapokamilika inabidi uwe mvumilivu lakini itasave gharama.
Pia kama hujui exact content ya hilo file jaribu kudownload hizo pdf kwanza uzione halafu anza na file moja la video la 10gb uangalie kama ndio kitu ulichokuwa unategemea maanake unaweza ukahangaika halafu ukakutana na vitu tofauti

Unaweza ukatumia zbigz.com alaf una paste magnet link alaf itafanya catching utadownload kwa idm
 
Habari zenu wakuu ningependa mnisaidie njia rahisi ya kudownload file
La torrent lenye ukubwa wa GB 40

Kwa mtandao wangu wa voda(3g) nimecheki naona itachukua siku 2 hadi file lote likamilike kuwa downloaded

Hivi haiwezekan nikadownload hili file la torrent kwa kutumia INTERNET DOWNLOAD MANAGER?
Siku 2 mbona chache sana sana kwa GB 40 kuwa mvumilivu bro
 
Back
Top Bottom