Njia rahisi ya kuchemsha ngano

Totos Boss

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
5,456
1,565
Wana makulati, unapotaka kupika uji wa ngano nzima asubuhu, usipate tabu kutumia mda mwingi kuchemsha ngano zako. Fanya hivi, chmbua vizuri ngano zako, injika maji ya moto yachemke, ingiza ngano katika chupa ya Chao , mimina maji ya moto na fungal chupa, haya yafanye jioni na ilaze had I asubuhi ngano zitakua zimeshawiva tayari kupika uji.
 
Back
Top Bottom