Njia rahisi ya kuangalia on-line TV channels kwenye PC

Hii Kitu nipo tight Job leo siwezi kutoka ila nimeweza tizama Mechi ya AFC Bournemouth 0 - 0 Tottenham Hotspur Asanten sana kwa Kuja Mabdro inakula sana MB Ukiitumia
 
Nashukuru mkuu, mimi naona channel 4 tu hapa sijui ndo hizo. Mimi ugonjwa wangu ni Premier League saidia mkuu
 
Nashukuru mkuu, mimi naona channel 4 tu hapa sijui ndo hizo. Mimi ugonjwa wangu ni Premier League saidia mkuu
Fuatisha uzi vizuri link za SKYSPORT zishawekwa na mdau tayari me nishatizama game za leo ikiwemo ya wachovu arsenal wametoka nunge...
 
Ndio kitu gani tena hicho kinaitwa Nje ya Nchi... kinauzwa wapi?

Nje mambo ya bure bure ukinaswa fine ni kubwa mno... humu panawafaa wapenda dezo
hahaha siko tanzania ila nataka kujua kama hiyo inawezekana pia
 
file la sky sports 1 linagoma kufunguka, lina display error ukishafungua kwentw vlc. kama file jingine llitapatikana ntashukuru, ili game ya Chelsea na man utd tusiikose
 
mkuu, file la sky sport 1 linafunguka lakini linasema error, ntashukuru kama utanisaidia file jingine la sky sports 1.
asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…