Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
Sasa miaka 60 ukijumlisha na uliyonayo ningapi mkuu🤣Kwanini ukiwa mzee na siyo kijana?
Kwanini iwe uzeeni, kipi kinashindikana kwa sasa?Sasa miaka 60 ukijumlisha na uliyonayo ningapi mkuu🤣
Asilimia zaidi ya 90 ya watanzania wanakufa kabla yakushika bilionKwanini iwe uzeeni, kipi kinashindikana kwa sasa?
Una uhakika gani kila mtu atafika uzeeni?
Wewe umeshika lini?Asilimia zaidi ya 90 ya watanzania wanakufa kabla yakushika bilion
Na ni aslimia hizo hizo watanzania wengi wanakufa kabla ya kufika uzeeni.Asilimia zaidi ya 90 ya watanzania wanakufa kabla yakushika bilion
Hii siri usimwambie mkeo wala watoto, maana watakuua wakidhani una bilioni tatu.....Wekeza 1000 kila siku ndani ya kipindi cha miaka 60
Nataka niwekeze 5M kila mwezi ndani ya miaka 5 nitakuwa na shs ngapi?Wekeza 1000 kila siku ndani ya kipindi cha miaka 60
Utakuwa umeweka milion 300, faida milion na mtaji milion 408. , faida milion 108 ( hii nikwamuda wa miaka 5)Nataka niwekeze 5M kila mwezi ndani ya miaka 5 nitakuwa na shs ngapi?
Nikweli mkuu hapo utakuwa na 90🤣Mkuu,
Kwamba formula yako na makisio yanatakiwa mtu mwenye umri wa miaka 0, maana sisi wenye miaka 30+ inagoma
Nikweli mkuu itakuwa kama 100🤣Buku ya leo sio buku ya miaka 15 ijayo