Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,369
- 6,717
Kwa wale wanasimba.
Msimu wa 24/25 kuna mambo yametokea ambayo wanasimba wamedhurumiwa kwa nguvu.
1. Simba waligoma kucheza mchezo wowote hadi wahuni waliosababisha vurugu kuelekea mechi ya March 8 washughulikiwe.
Kinyume chake Simba waliendelea kucheza mechi, mashabiki na wanachama wakaingizwa mkenge.
2. Fainali ya CAF CC
Licha ya Simba kupewa taarifa mapema kuwa mchezo utapigwa Zanzibar, viongozi waliuza tiketi. Wakapiga pesa afu wakakusha.
3. Dabi ikapangiwa tarehe, viongozi wakatoa taarifa hawatacheza mchezo huo ila baadae wakathibitisha kupeleka timu bila kutoa maelezo imekuaje wakakubali kucheza (tofauti na Yanga waliosimamia msimamo wao hadi mambo yao kadhaa yalipofanyiwa kazi.)
Mashabiki na Wanachama hawakushirikishwa (wanaona haya manyumbu/ mamisukule tuyaburuze)
4. Michango isiyotolewa taarifa na Usajili
Wanachama na mashabiki wa Simba wlichangishwa pesa ya ujenzi wa uwanja wa Bunju zikapigwa kimya kimya, pesa ya faini ya CAF ikapigwa.
Timu imeingia mkataba na mzabuni wa jezi, akaahidi kusajili mchezaji pendekezo la mashabiki (mashabiki wakajaa upepo) hakuna kilichofanyika.
Simba waliwahi kulipwa karibuni bilioni 5 na CAF kwa ajili ya AFL wakaahidi kuboresha kikosi mwisho wake walisajiliwa kina Jobe, Koublan pesa zikaliwa shaaaa!!!
Kumekua na mgawanyiko wa mashabiki na viongozi wengine wakitaka viongozi hasa Mangungu ajiuzuru. Mgawanyiko huu kuna watu wanalipwa ili watetee viongozi waliopo madarakani, wengine wanawaponda waliopo madarakani ila nao wamelipwa pesa halafu kuna wengine hawajui nini hasa kinaendelea.
Yote haya ni matatizo ya Friends of Simba wakiongozwa na Mo Dewji, Try again, Magori n.k.
Njia ya kuwanyoosha hawa watu ni MASHABIKI NA WANACHAMA WA SIMBA WAGOMEE KUNUNUA HUDUMA ZA SIMBA zikiwemo, hakuna kununua jezi mpya, hakuna kununua tiketi za mechi kuanzia Simba Day, hakuna kulipia App hadi Bodi ya wakurugenzi "wahuni wahuni" wajirekebishe hasa Mo Dewji na genge lake.
Mangungu anaweza kuwa tatizo ila Mo Dewji ni tatizo kubwa pale Simba. Rejea sakata la Mo Dewji na Mwenyekiti aliyejiuzuru kabla ya Mangungu
NI MUDA WA WANACHAMA NA MASHABIKI WA SIMBA KUSEMA NO REFORM NO SERVICE.