Njia panda

fundichupi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
382
Reaction score
238
Eti jamani tunachukulia vipi swala la kumtoa mimba mtu au kuiacha halafu kukimbia bila notice.
Kipi kinaunafuu japo vyote ni vibaya.
 
Mm pia yaan nna shida na ushauri ndo mana nkaititle njia panda....
 
Last edited by a moderator:
Jamani nipeni ushauri, hii ya jina na tenda mtanipa bdae.... Tulimalize la mezan kwanza
 
ETI JAMANI TUNALICHUKULIA VP SWALA LA KUMTOA MIMBA MTU AU KUIACHA HAFU KUKIMBIA BILA NOTISI.. Kipi kna unafuu japo vyote ni vibaya..!?

Its better mtu apotee aende kusaka hela atarudi tu,

Kuliko kuua kiumbe
 
Yaani wewe ni fundi wa hayo mambo, halafu unatuuliza siye tena.
Ujue tu kutoa mimba ni kosa kisheria, pia kumkimbia ni kosa. Yote utakayo kufanya ni dhambi.
Kwanini hukutumia protection kama hukuwa tayari kulea?
 
Nadhani kukimbia bila notisi ndio mbaya zaidi, but at least atoe ahat one month notice Fundi vyupi
 
Last edited by a moderator:
Wewe lea tu hiyo mimba,jiandae kuitwa baba.Kama umempa mtoto wa shule jiandae kufungwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…