Njia panda ushauri wenu jamani.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah toeni ushauri bhasi
Sasa mkuu sikia nikuambie. Katika vitu ambavyo hautakiwi kucheza navyo ni maeneo ya uzazi.

Kwanza umesema eti mshikaji ameenda kupima akaambiwa, yani kaambiwaje? Alifanya vipimo vya magonjwa ya zinaa ama alienda pharmacy akajielezea then akapewa dawa kiholela tuu?

Kitu sahihi anachotakiwa kufanya ni kwamba anatakiwa amueleze huyo mpenzi kilichomkuta, waende kwa pamoja hospitali wakaone wataalamu ili wapime ni ugonjwa upi hasa umewakumba ili wapate tiba sahihi na kwa wakati.

Over.
 
Wakuu sio mimi walahi..!!
Usijitetee huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine ni vile tu linapotokea ndo changamoto..... BTW wanajamvi hawakujui tulia update ushauri labda namna ya kumwambia km mnapendana mtibiwe wote
 
Ukweli utamuweka huru ila tiba muhimu kwa wote wawili
 
Yaani hayo maradhi kama hayo ni ya aibu sana. ..na huwa Yana dhihirisha kabisa kuwa aliye kuambikiza ni cheche tena za transformer. ...

Niki kutana na jambo kama hilo namueleza muhusika namshauri akapime kisha atumie dawa. ...Baada ya hapo ninaachana nae
 
mwambie akipona akachovye tena ili ahakiki......
 
Unadate na mtu bila kinga miaka hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…