Samahani mkuu...Jamani kuna changamoto flani Jamaa angu amekutana nayo anahitaji ushauri. Mshikaji amekuwa in relationship na mdada flani wa chuo kwa muda sasa na wanaaminiana sana yani sasa Juzi kato walikutana baada ya kusex siku tatu mbele akaanza kuhisi maumivu akikojoa na kuona kama discharge flani nyeupe kabla ya mkojo kutoka akitaka kukojoa..! Jamaa kaambiwa ni Gonorrhea akapewa na dawa sasa mshkaji yupo njia panda maana demu anampenda sana na anamuamini kumwambia anaogopa japo kiukweli mwana hajawahi chepuka kabisa anavyodai..
Je amuulize demu wake kuhusiana na hili suala la huu ugonjwa wa Ngono??? Je mwanamke akimgeuzia kibao maana mwana anampenda sana demu yani...[emoji24][emoji24]
Jisemelee tu, mwambie mrembo, mimi mbwa nina gono la mbwa, nisamehe twende tukatibiwe.Jamani kuna changamoto flani Jamaa angu amekutana nayo anahitaji ushauri. Mshikaji amekuwa in relationship na mdada flani wa chuo kwa muda sasa na wanaaminiana sana yani sasa Juzi kato walikutana baada ya kusex siku tatu mbele akaanza kuhisi maumivu akikojoa na kuona kama discharge flani nyeupe kabla ya mkojo kutoka akitaka kukojoa..! Jamaa kaambiwa ni Gonorrhea akapewa na dawa sasa mshkaji yupo njia panda maana demu anampenda sana na anamuamini kumwambia anaogopa japo kiukweli mwana hajawahi chepuka kabisa anavyodai..
Je amuulize demu wake kuhusiana na hili suala la huu ugonjwa wa Ngono??? Je mwanamke akimgeuzia kibao maana mwana anampenda sana demu yani...[emoji24][emoji24]
Itakuwa ni wew kuwa mkweli tuJisemelee tu, mwambie mrembo, mimi mbwa nina gono la mbwa, nisamehe twende tukatibiwe.
Anajuaje kwamba huo ugonjwa kaupata kutoka kwa huyo mdada?Jamani kuna changamoto flani Jamaa angu amekutana nayo anahitaji ushauri. Mshikaji amekuwa in relationship na mdada flani wa chuo kwa muda sasa na wanaaminiana sana yani sasa Juzi kato walikutana baada ya kusex siku tatu mbele akaanza kuhisi maumivu akikojoa na kuona kama discharge flani nyeupe kabla ya mkojo kutoka akitaka kukojoa..! Jamaa kaambiwa ni Gonorrhea akapewa na dawa sasa mshkaji yupo njia panda maana demu anampenda sana na anamuamini kumwambia anaogopa japo kiukweli mwana hajawahi chepuka kabisa anavyodai..
Je amuulize demu wake kuhusiana na hili suala la huu ugonjwa wa Ngono??? Je mwanamke akimgeuzia kibao maana mwana anampenda sana demu yani...[emoji24][emoji24]
Wakuu sio mimi walahi..!!
Mwambie asimwambie sasa hivi asubiri akipewa na kaswende ndio amueleze yote kwa pamoja!
HahahahahaHapana, asubiri kwanza mpaka akipata na UKIMWI ndio amuulize status yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]