njia panda ....soma tafadhali

njia panda ....soma tafadhali

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini

taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi

taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu

je nichukue ipi na niache ipi?
 
Chukua kazi ya kudumu..achana na temporary job ata kama wanalipa vizuri kiasi gani.
 
Endapo hio kazi ya temporary inaendana na profession yako nakushauri nenda kaifanye , kwa maana kwamba mara baada ya mkataba kusitishwa utakua umepata experience ya kitu ulichokisomea na hivo unaweza ukapata kazi sehemu nyingine, ila kama ni tofauti kabisa na kitu ulichokisomea usisubutu kwenda kuifanya maana utakuja kujikuta mkataba unaisha na ile fani yako uliyoisomea hauna experience nayo hata kidogo hivo itakuwia ngumu sana kupata kazi, labda ujiajiri.

kila la heri ndugu
 
ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini

taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi

taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu

je nichukue ipi na niache ipi?
Ajira ya kudumu ina heshima na security. ajira ya muda haitabiriki na haina garantii ya security. mshara unaweza kuwa mkubwa lakini si wa uhakika na siku yoyote unaweza kuachishwa kazi.
 
we wa wapi nenda permanent job, we nenda iyo temporary afu ikiisha tusugue wote hum
 
Endapo hio kazi ya temporary inaendana na profession yako nakushauri nenda kaifanye , kwa maana kwamba mara baada ya mkataba kusitishwa utakua umepata experience ya kitu ulichokisomea na hivo unaweza ukapata kazi sehemu nyingine, ila kama ni tofauti kabisa na kitu ulichokisomea usisubutu kwenda kuifanya maana utakuja kujikuta mkataba unaisha na ile fani yako uliyoisomea hauna experience nayo hata kidogo hivo itakuwia ngumu sana kupata kazi, labda ujiajiri.

kila la heri ndugu

yani hii ya permanent ndio iko within my career sema inakiwango kidogo sana cha mshahara ujue kabla hata sijapata hii nyingine nilikuwa najiuliza mara mbili mbili kwa nini na kuuliza kwanini mtu mwenye professional yake kwenye hiyo kazi wameamua kum lipa kiasi kidogo hivyo
 
ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini

taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi

taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu

je nichukue ipi na niache ipi?

wanakulipa sh.ngap huko temp na permane
 
yani hii ya permanent ndio iko within my career sema inakiwango kidogo sana cha mshahara ujue kabla hata sijapata hii nyingine nilikuwa najiuliza mara mbili mbili kwa nini na kuuliza kwanini mtu mwenye professional yake kwenye hiyo kazi wameamua kum lipa kiasi kidogo hivyo


Afadhali ukakubali kwenda hio ya permanet ambayo inamshahara mdogo lakini itakuongezea experience katika fani yako, na kukupatia security, kuliko hii ya muda mfupi mbayo sio fani yako, na haina security. kazi za za muda mfupi zinakupotezeaga timing sana, by the time unakuja kustuka unakua unakua umepoteza muda mrefu bila ku gain experience kwenye fani yako.

Na kumbuka kua hio kazi ya muda mfupi uliosema inaenda hadi three years itakapokua imeisha, ma contena ya watu wenye fani kama ya kwako yatakua yameshamwaga mtaani, kwa hio ile chance yako ya kupata kazi itakua finyu sanaaaa kwa wakati huo.
 
kaka hapo bwana nenda kwa hiyo ya permanent as utakuwa na security ya kazi yako na inshaallah mambo yatakuwa mazuri huko mbeleni...mdogomdogo tutafika ndg yangu...
 
ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini

taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi

taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu

je nichukue ipi na niache ipi?

mkuu., hapa kuna mambo mawili. Kama wewe unaona future yako ipo kwenye ajira. Nenda permanent job.

Watu ambao future yao ipo kwenye ajira wana sifa zifuatazo/ au wako namna hii
- ni wavivu
- siyo wabunifu
-maisha yao yote wanawaza ajira
-ni tegemezi kifikra na kiakili
wanawaza pasipo ajira hakuna maisha
hawajitumi
siyo wepesi kufanya maamuzi magumu
anaweza akajichanganya na kumwamkia bosi wake mara hata 3
wakishastafu uishi maisha ya tabu sana kwa kuwa wana akili tegemezi ya ajira na ajira ndiyo imekwisha hivyo wataanza/ataanza kuwa tegemezi kwa watoto na kulalamikia hawamsaidiii

short term employment inawafaa watu wa namna hii

1. Majasiri
2. Hawawazi kuajiriwa kwa muda mrefu
3. Wanachotafuta ni mtaji tu ili waende kujiajiri
4. Mshahara mkubwa wa wa muda mfupi unawafaa
5. Siku zote wanafikiria ujasiriamali/wanawaza kihindi zaidi
6. Wanaojituma sana hivyo kutokuwa na mawazo tegemezi
7. Hawastafu/ hata wakifika uzeeni wanaendelea kula bata.
8. They are ready to loose or to gain.

VODACOM- KAZI NI KWAKO!!!!!!!!!!!
 
Mi pia nakushauri permanent.ila kama hiyo ya tempo inalipa mil kama tatu na zaidi go for it,hata ikiisha ni nini bana.mm niliwahi kupata ya tempo na wakati huo nikawa niko kwenye permanent,kilichoniboa ni kuwa kimshahara kilikuwa kidogo,nikashit
 
Cha msingi weka wazi mishahara ya sehemu zote perm na temp ndo utaweza kushauriwa vizuri otherwise unafanya kubahatisha na fainal utaingia king bila kujijua
 
Kachukue mtaji and be your own boss, ondoa fikra ya kuwa mfanyakazi kwenye ofisi ya mtu for all your life, utajutia, usibabaike na security
 
mkuu., hapa kuna mambo mawili. Kama wewe unaona future yako ipo kwenye ajira. Nenda permanent job.

Watu ambao future yao ipo kwenye ajira wana sifa zifuatazo/ au wako namna hii
- ni wavivu
- siyo wabunifu
-maisha yao yote wanawaza ajira
-ni tegemezi kifikra na kiakili
wanawaza pasipo ajira hakuna maisha
hawajitumi
siyo wepesi kufanya maamuzi magumu
anaweza akajichanganya na kumwamkia bosi wake mara hata 3
wakishastafu uishi maisha ya tabu sana kwa kuwa wana akili tegemezi ya ajira na ajira ndiyo imekwisha hivyo wataanza/ataanza kuwa tegemezi kwa watoto na kulalamikia hawamsaidiii

short term employment inawafaa watu wa namna hii

1. Majasiri
2. Hawawazi kuajiriwa kwa muda mrefu
3. Wanachotafuta ni mtaji tu ili waende kujiajiri
4. Mshahara mkubwa wa wa muda mfupi unawafaa
5. Siku zote wanafikiria ujasiriamali/wanawaza kihindi zaidi
6. Wanaojituma sana hivyo kutokuwa na mawazo tegemezi
7. Hawastafu/ hata wakifika uzeeni wanaendelea kula bata.
8. They are ready to loose or to gain.

VODACOM- KAZI NI KWAKO!!!!!!!!!!!
We jamaa una maakili meeengi hadi nakuonea wivu.
 
Mkuu mimi ningekuwa wewe ,ningeenda kwenye big fat cash though ni kwa muda mfupi kujikusanyia capital, then I'm good for the road. Mambo za kufanya kazi 40 years sijui only to come up with nothing I personally hate that.
 
Nenda kwenye kazi ya hela nyingi. Soma upepo na endelea kutafut kazi uruke kabla meli haijazama. Mambo ya permanent and penshionable utakufa maskini unless uwe mwizi.
 
Hizo kazi mbili zitakuchanganya cha msingi piga chini zote uangalie maisha mengine.
 
Watu tunatafuta hela na hatuchoki kupambana! Usiwe muoga na future! Kama hiyo ya tempo ina big cash, go for it, maadam mkataaba ni renewable, unaogopa kucompete tena? Huko kwa permanent (hopefully ni serikalini) utakufa maskini labda uwe mwizi!
 
Back
Top Bottom