Njia panda sehemu ya pili

hmasunga

Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
83
Reaction score
10
Nikaanza uhusiano nae nilikuwa kicheche sana hapo kabla bt nilipokuwa nae nikaacha na toka hapo sikuwai kutoka nje ya mahusiano nikanunua viwanja vitatu hapa dar na mashamba kadhaa mkoani pwani.mwanzoni mwaka jana 2kashauriana nijenge nyumba then 2funge ndoa bt katikati ya mwaka jana nikahamishwa kikazi arusha kwa mda wa mwaka yaani narudi dar julay na kipindi chote mawasiliano yalikuwa mazuri sana na ananiambia niwe makini na nyumba nimemaliza na jana asubui 2meongea btmchana kaolewa nifanyeje?
 
Hebu eleza tena yan mmeongea jana then leo mchana kaolewa?
 
Kwa uandishi huu usio na koma wala nukta lazima ubwagwe..!!
 
nyie vijana wa digitally bwana ukishahama mkoa jua kabisa hamna mapenzi hapo...siku hizi ni mwendo wa locationship....kugegeda pale ulipokuwepo sahau wa kule ulipotoka
 
yaani nimedumu nae kwenye uhusiano toka 2009 mwishoni na wala sikuwai kutoka nje ya mahusiano mpaka leo navyo andika.hata uku arusha sina mahusiano coz uko nyuma nilikuwa m2 wa anasa sana.bt alinibadilisha sana kimaisha ana ushauri mzuri bt kinachoniuma jana kanipigia simu asubui kunijulia hali ni kawaida kwa wapenzi akaniaambia mbona umenisusa?mda huo nilikuwa nawai kazini.nilipofika kazini nikampigia 2kaongea fresh bt mida ya saa tano nikiwa kazini nikapata ujumbe uwo nikamwuliza akakataa.
 
sijajua kwa nn mpaka kaamua kunitosa mpaka dakika za mwisho hajakubali nani kweli kaolewa jana mchana bt alie muoa kapata mke ni mwanamke mwelevu sana hana makuu na anajieshim sana sana.bt kama ningempata hewani walau ningemwuliza nilikosea wapi au mapungufu yangu ni nini bt simpati roho yauma.
 
Ukitulia utaweza kuelezea vizuri..

"Mwenzenu tena basi, oh mapenzi sitaki,
oh mwenzenu tena basi, basi, sitakiiii. X2

Yalinifanya nikaugua, mara napanga unapangua
mwili ukakonda nikapungua, sikulalaaaa
oh maradhi nikaugua, yakanichoma na kuuungua roho
kutwa nawaza na kuwazua, sikulalaaaa

Haya mapenzi bana hayana maana yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nshagombana, nikatukanwa, lakini kanipiga teke

Haya mapenzi bana hayana maana yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nkagombana, usiku mchana yeyeee...

Mwenzenu tena basi..."


Ongeza juhudi kuinua uchumi wako brother...hakunaga mapenzi siku hizi!!!!!
 
Aliyemuelewa,anieleweshe na mie jaman!
 
ooh maskin pole, sasa sijui utarudi kwenye ukicheche sijui utafanyaje, duh nakuonea huruma, ndo maana mentor hataki kuoa
 
nimesikia habari kaolewa na m2 mwenye kipato kikubwa sana zaidi yangu bt utajiri ndio kila ki2 hapa duniani lakini ni mwanamke ambae si mzuri yupo kawaida bt ana maadili yote ya kukaa ndani na ukajenga familia bora.
 
tafuta mnyonge wako na wewe. pole sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…