Njia panda, nani ananifaa kati ya hawa?

Njia panda, nani ananifaa kati ya hawa?

Hao jamaa watajipigia huyu dada hadi ashangae maana yeye anaamini tu hata fiksi
 
Maliza kwanza darasa la saba ndo uje kwenye jukwaa lwa watu wazima ukiwa umeshakuwa mtu mzima
 
kuwa mtu wa maamuzi magumu, mtu asitake kukuchezea alafu mara akuache mara arudi, kwa kua alikuacha na alishaoa, naona ungepiga moyo konde ukajaribu kwingine, angalau kwa huyo ambaye alikutamkia alikua hayupo tayari ukimpa nafasi lakini usiingie kwa miguu miwili ukaumizwa tena, kizazi cha sasa hivi si cha kupenda hadi kumuwaza binadamu mwenzio, ni kuwaza namna ya kusonga mbele na kupata maisha bora yatakayo kufanya usiwe mtumwa kwa mwanaume
 
Thus love how it is, uamuzi ni wa kwako but hapo hakuna anayekupenda zaidi ya kukupotezea Muda tu.
 
Aseeee kumbe wewe ndo umenichukulia mume salale nakuloga dadeki
 
Babuuuu,naona huvumi lakini umo teh teh teh
Ningetegemea ungeomba ushauri wa namna ya kuachana na hao malaya wawili....

BTW kitandani kati ya hao wawili...
Nani anayajua mambo zaidi?
Nani ana dushe kubwa zaidi?
Nani anawahi kumwaga wazungu zaidi?
Nani ana hela zaidi?
Nani anajua kulamba K zaidi?
 
Yule wa mwanzo Sikuwai kwenda nae Bed , Sikuwai Sex Nae, lbda uyu wa sasa .....Aliye vizuri kipesa ni wa kwanza
Ningetegemea ungeomba ushauri wa namna ya kuachana na hao malaya wawili....

BTW kitandani kati ya hao wawili...
Nani anayajua mambo zaidi?
Nani ana dushe kubwa zaidi?
Nani anawahi kumwaga wazungu zaidi?
Nani ana hela zaidi?
Nani anajua kulamba K zaidi?
 
Kuna muda unafikia Binaadamu Unakutana na Vitu ambavyo Vinakuweka Kati , Uelewi Ni Wapi Pakugeukia Au kuchagua .
Nilikuwa na Boy Kama miaka miwili iliyopita, Nilimpenda kweli Na Mimi Ndo Nilkuwa wa kwanza Kumpenda Naweza Kusema Ivyo , Lakina kwake Ilikuwa Tofauti Alikuja Kunitamkia Wazi Kuwa Hakuwa Na Mapenzi Na Mimi Kwa kipindi Kile , Alivyosema Hakuwa Sawa Kuwa na uhusiano , Nilimueleawa Lakina kishidah sana sababu Ndo kama Nilkuwa naanza kupenda , Tukawa tofuti kwa iyo miaka miwili na nikaweza kumsahau ,
Nikapata Boy Mwingine ndani ya iyo miaka miwili , Kama Mnavyojua Penzi linavyokuwa tamu na nzuri Mwanzoni , Tulielewana na nikapendana nae Sanah na Ndo alochangia kwa asilimia kubwa kumsahau yule wa mwanzo , Nikwa nae kama Mwaka Ivi , Mabadiliko Yakaanza kujitokeza Akwa mtu wa mambo mengi Sanah , Nakumbuka kuna siku Nilkuwa natoka kibaruani Jioni na uyo Boy Nakaa Nae Mtaa mmoja kuna kama kirima ivyi uwa tunakatishia apo kufika HOME, Wakati nashuka ivi nikamuona ye anapandisha yupo na mwanamke , wakati nilikuwa nimeaidiana nae kuonana , Nikaamua nimuache kwanza ,baadae kuja kumuuliza alikataa kabisa Hana chochote na yule Binti ni Dada yake , Nikaamua yapite tusije pishana zaidi, Alizidi kuwa tofauti Kila kukikucha , Sasa kuna iyo siku ndo alonimaliza Kabisaa, Ilkuwa jion nayo natoka JOB Nikawa nampigia simu Sana Akawa Apokei , Nikamua kumpotezea , Baadae Ivi Simu yangu Ikawa inaita kuangalia namba ni yeye yaani mpka moyo ukashtuka , Ile napokee tuh Nikanza kusikia maneno ya kejeli, Maneno ambayo kikweli Yalinitesa sana nakuuniumiza , Kikubwa alikuwa Anadai Anitaki wala kunipenda , Niishi Kwa mapito magumu mpaka Nkawa najiwazaia mabaya, Nikaja kusikia Kuwa Ameoa Yaani iyo ndo ilinikata Maini Kabisaa , Zikapita Kama miezi ivyi tangu Aoe , Siku iyo akaniibukia Sehemu ivyi Mitaa ya HOME Naona Mtu Uyo, nikamkaribisha Akaanza kujisemesha Sana Nakuomb Msamaha , Nilikuwa Bado Nampenda kikweli , Na alivyodai Nikuwa Aelewi Ata yale yote yalitokeaje , Tukarudiana Akiwa Bado Na Mke wake ,( KWA ILI NAOMBA MSINISEME VIBAYA NAJUA NAKOSEA ILA YOTE NI KUTOKANA NA UPENDO NILOKUWA NAO KWA YULE JAMAA NA KUNA BAADHI YA MAMBO YALIENDELEAA KABLA YAKUMOOA YULE BINTI SA SI VIZURI KIHESHIMA KUYAWEKA APA ) Bado nipo nae Mpaka Leo N bado Yupo Na Mkewe Kikubwa Nilichojiwekea Ni kutoiharibu ndoa yao wala kuingili Japo mwenyewe anadai Ameshindwa Kuishi Nae..
Kilichonileta Apa ni Kuwa Yule Boy wa mwanzo karudi na nguvu ya Ajabu, Karudi Upya Kwa hisia mpya juu yangu , Uyo nilonaye nipo tuh kwake Kujiegesha Uku nikitafuta Nami ustaarbu Wangu . Lakini yeye ameniwekea Asilimia kubwa sana Ata kunifanya kuwa Chungu Cha pili ... YAANI Apa ata sielewi na kuna Utofauti Mkubwa Sana Kti ya awa 2 ... SIELEWI ATA NIWAPI NIKAE Na yule wa mwanzo nae ana mambo yake Ayapo Vizuri ... YAPO MENGI ILA KWA AYO MACHACHE NAOMBENI MNIPE ATA NJIA KIDOGO TU YAKUANZIA KUFIKA NINAPOENDA ........

Heshima kwenu

Wakati mwingine upendo uliozidi na kumfanya mtu apende kama kipofu huweza kumfanya mtu akafanya uchaguzi usio sahihi katika kuchagua mwenzi wa maisha.

Muasisi wa ndoa nu Mungu na yeye mwenyewe asema mke au mwema atoka kwake, naye ajipatiae mke au mume mwema ajipatia kitu chema. Maadamu wewe umekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa kukuwezesha kuchagua mume mwema, mimi nakushauri usali na uombe Mungu akuangazie na akuonyeshe mume aliyekuandalia ni yupi. Yeye pekee ndiye anayeweza kukupa jibu sahihi na kukueleza ni nani anayekufaa katika maisha yako na ndio maana hata yeye anasema "Mimi ndio njia ya ukweli na uzima."

Pia wakati unamuomba Mungu akuangazie nakushauri pia utafakari na ujiulize kwanza kama huyo mwanaume unayetaka kuolewa naye anafaa ama vipi. Mwenedo wake na tabia yake ya siku za nyuma ulikuwa wa namna gani? Je maisha yake ni masafi? Je upendo akuonyeshao unatoka moyoni na unaonyesha heshima na tabia njema ama ni upendo wa hivi hivi tu? Je anao mwendendo ambao utakufanya kuwa na furaha? Wewe kama mke utaweza kuwa na furaha uwapo kwake? Je ataruhusu kudumisha tabia yangu na kunipa uhuru ama itanilazimu kutupilia mbali yote na kufuata matakwa yake? Maswali kama haya yakizingatiwa kwa busara yatakuwa na manufaa sana katika maisha yako yajayo kwako wewe ambaye unataka kuolewa

Kama kuwa na familia yenye furaha na amani, ambayo haitakuwa na udhaifu wala huzuni katika siku za baadae basi naomba ujiulize maswali haya kabla ya kuamua kukubali kuolewa na huyo mwanaume:

  • Je huyo unayemtaka awe mwenzi wako ana hofu na kumcha Mungu?
  • Je ana afya njema?
  • Je ana bidii katika kazi?
  • Je msafi wa kimwili na kiroho?
  • Je ni mlevi?
  • Je ni mtii, mnyenyekevu na mwenye adabu?
  • Je anajiheshimu na kuvaa mavazi yenye heshima?
  • Je ni mwaminifu?
  • Je ni mtu anayetunza siri katika uhusiano wenu?
  • Je ni mkristo, mpagani au mwislamu mwenzangu?
  • Je mpenzi wangu anaye mama?
  • Je tabia ya mama yake ikoje?
  • Je anatambua wajibu wake kwa mamaye?
  • Je anajali upendo na furaha ya mama yake?
  • Ikiwa hajali wala hamheshimu mama yake, kweli ataweza kuonyesha heshima na upendo, wema na usikivu kwa mkewe?
  • Je harusi itakapokwisha atakuwa na huruma kwa makosa yangu ama atakuwa ananikosoa mara kwa mara huku akiwa mgomvi na mkali?

Katika kuyajibu maswali haya shauku nyingi yaweza kupishia mbali makosa na kasoro za mchumba wako, lakini upendo wa kweli hautaficha neno. Katika kuchagua mwenzi wa maisha, unatakiwa uchague mwanaume mwenye tabia na mwenendo safi wa kibinadamu, aliye na bidii, mwangalifu, mwenye heshima na aliye mwaminifu na mnyofu.

Ikiwa umefanya uchumba na mtu ambaye huelewi vyema tabia yake, usidhani kushika uchumba kutakulazimisha kuchukua kiapo cha ndoa na kuungana na mtu ambaye humpendi na ambaye wala hutamheshimu maishani mwako. Jihadhari sana unapofanya uchumba wenye masharti; lakini hata ukiwa ni uchumba wenye masharti, ni bora mara kumi kuuvunjilia mbali huo uchumba kabla ya kufunga ndoa kuliko kuja kuvunja ndoa baadae kama wengi wafanyavyo.
 
Back
Top Bottom