Chadema hamna sababu yakushiriki huo uchafuzi tafuteni mbinu mbadala za kusurvive maana yajayo yanahuzunisha 2020 msitegemee hata mmoja wenu kurejea bungeni au udiwani kwa aina hii ya siasa zinazofanywa na CCM. Msije kusema sikuwaambia.,, waacheni wakajichague wenyewe..ili washangilie kama mazuzu.
Tz ni nchi yenye vyama vingi, hata chadema wakisusa, vyema vingine vitashiriki, hivyo ushindi utashangiliwa bila hofu wala bughuza. Atakayeumia ni Mbowe kwa kukosa ruzuku