Na hizo likes atazipata kutoka kwa majini wenzakeNjia nyingine ya kumtambua jini ni kuomba Like
Mimi huwa najiulizaga hivi mqoundou unakataje marvey bila kutumia makali ama vitu vyenye ncha kali kama kisu?Hakuna mbambamba let's go directly on point
Kumtambua jini haraka hizi hapa
1.chek mikono
2.cheki mguu
3.cheki kiini Cha macho
Sasa nataka like 100 nichambue kimoja baada ya kingine Kama Kuna mtu anazijua ruksa leta nondo hapo chini Mimi mpakq nipate like 100 ndio nitaleta
Jini na shetani ni vitu viwili tofauti,jini ni specie wakati shetani hata mtu anaweza kuwa shetani..ni Hali,unapomshawishi mtu kufanya maovu wewe ni shetani lakini si jiniMbona tunawajua. Shetani wa mtu ni mtu mwenyewe
Jini haonekani kwa jicho la kininaadamHakuna mbambamba let's go directly on point
Kumtambua jini haraka hizi hapa
1.chek mikono
2.cheki mguu
3.cheki kiini Cha macho
Sasa nataka like 100 nichambue kimoja baada ya kingine Kama Kuna mtu anazijua ruksa leta nondo hapo chini Mimi mpakq nipate like 100 ndio nitaleta
Marvey yanakatwa na Marinda mkuuMimi huwa najiulizaga hivi mqoundou unakataje marvey bila kutumia makali ama vitu vyenye ncha kali kama kisu?
Faking amazing!
Kioo kivipiWrite your reply...ndgu jini yupo kama binadamu wengine,hzo za kusema ana kwato mara macho yake hayachezi n stori tu za vijiweni.njia kuu ya kumtambua jini ni kioo na njia ya pili matendo yasiyo ya kawaida ya mwanadamu .