Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

Ahsantee mkuuu heshima na iwe kwako, unatuweka angalau vizuri katika kipindi hiki kigumu kwetu

Sent from my HUAWEI G615-U10 using JamiiForums mobile app
Nakushukuru sana mkuu. Unantia moyo wa kuendelea kushusha vitu hapa kwa kuwa na audience. Much respect kwako. Tukutane hapa kesho kuendeleza mambo zaidi.

☆Steve
 
Mkuu anaepaswa kushukuriwa ni wewe, ujue unatupa chakula cha akili, unatumia pesa zako, akili yako, muda wako na na vitu vyako ili sisi tuipate hii burudani buree, japo kwangu hua siichukulii kama burudani kwani kuna vingi hua naelimika sana mkuu kupitia stori hizi
 
Amina mkuu. Si wote wenye macho na moyo kama wako. Nyie ndiyo mwantia moyo mkuu.

Mkuuu wakati mwingine kulingana na kazi ninavoziona zinavyofanyika huwa naona hata aibu, kazi unazozifanya ni nzito na ngumu mno, kiasi kwamba mimi hua najaribu hata kupita kimya kimya kwa aibu. Kwani hua naamini unapitia mambo mengi sana ili itufikir sisi sasa cha kushangaza tunapata bure mkuu. Ki ukweli malipo yako hatunayo sisi labda huyo aliekujalia moyo huo ndio atakaekulipa
 
Ilankunda1234 wengine huwa tunapenda tu kufuatilia mambo na pia kuhabarisha wengine. Basi tukifanya hivyo hujikuta tu tunaridhika. Na kama tusipofanya basi hujiona tunadaiwa. Huona kuna haja fulani haijatimizwa.

Ila si kila mara utamgusa na kumsisimua mtu. Na si kila mtu anaweza akapendezwa na juhudi hizo. Hvyo upatapo basi washukuru kuona meza imepata chakula.

Nashukuru maana umekuwa ukiniamini na hata ukaanza tangu mwanzoni mpaka sasa, mkuu.

Mkuu ni binadam wachache sana waliobaki katika dunia hii wenye mioyo kama hiyo, wengi wa hivo walipukutika enzi za ukombozi wa mataifa kutoka kwa mikono ya mabaradhui tena wenye mikono ya chuma. Cha kushangaza na wewe umo ndani yao, unajitolea kuhakikisha watu wengine wapaye japo hitaji lao, kukweli nikushukuru tu kwa kila juhudi unayoifanya kuhakikisha sie tunaipata, ninachokuahidi mimi ni kukupa ushirikiano na kukuamini zaidi, hii ni safari umeianza, umeanzia humu kesho utatoka nje, hizi juhudi zako zitakuja kukuonyesha matunda yake mbeleni,. Natamani sana siku moja niione kopi ya kitabu chako dukani na naamini ipo siku.
Tangulia sisi tutatumika kama mashahidi wa uzuri wa kazi zako
 
Amina mkuu Ilankunda1234 Mungu hutimiza haja za watu wake. Na hatupi waja wake. Nashukuru kwa kuwa pamoja nami. Tuone wapi safari yetu itatupeleka.

☆Steve
 
Back
Top Bottom