Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Pole sana ndugu kwema lakini huko?Nisamehen jaman. Nilibanwa na wala sikuwapo mtandaoni.
Pole sana ndugu kwema lakini huko?Nisamehen jaman. Nilibanwa na wala sikuwapo mtandaoni.
Bado Nina Amini utatuletea muendelezo mkuuNisameheni bure wazee.
Tumekusamehe ucrudie kupotea bila kuaga,hadithi utatuendlezea eeeehNisameheni bure wazee.

Kwema mkuu. majukumu tu asee.Pole sana ndugu kwema lakini huko?
Ahsante mkuuBado na imani na wewe
Pasipo na shaka.Bado Nina Amini utatuletea muendelezo mkuu
Ndio jambo la muhimu haya mengine ni ziada almuhimu maisha yanasonga bado mwenyezimungu anatuzawadia pumzi yake ni jambo la kushukuruKwema mkuu. majukumu tu asee.
Sawa tivuu shusha basiSijawah kukopy asee. Naandika mwenyewe.
Wewe mzushi tu kama ulikuwa hujajipanga kwanini ulete story yako humu halafu iishie katikati?Halafu baadae utakuja na gear LA kuchangiwa buku tatu tatu.Machalii wa Arusha Hawako km wewe!Karibu mkuu. Tujifunze kwa pamoja.
☆Steve
Tusichokonoane umesikia wewe fala! Kama wewe ni mgeni na mimi funga bakuli na sio unaanza kuleta usenge wako hapa. nilishasema hapa toka awali sitakuja kuuza simulizi yangu hata moja! Na nilishasema nitaiandika na kuituma hapa yote.Wewe mzushi tu kama ulikuwa hujajipanga kwanini ulete story yako humu halafu iishie katikati?Halafu baadae utakuja na gear LA kuchangiwa buku tatu tatu.Machalii wa Arusha Hawako km wewe!
Wewe inaonyesha jinsi gani ni mpuuzi unaweza tukana mbele ya hadhira.Acha bangi kima wew!Tusichokonoane umesikia wewe fala! Kama wewe ni mgeni na mimi funga bakuli na sio unaanza kuleta usenge wako hapa. nilishasema hapa toka awali sitakuja kuuza simulizi yangu hata moja! Na nilishasema nitaiandika na kuituma hapa yote.
Infact, simulizi zipo nyingi humu si lazima ukaisoma ya mzushi, sawa bob?
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Aliyeanza kutukana ni nani mpumbavu wewe! Ulitegemea nije hapa kukuperemba? Wenzako walvyoongea kibusara wewe ndo ulijiona unajua sana maneno ama?Wewe inaonyesha jinsi gani ni mpuuzi unaweza tukana mbele ya hadhira.Acha bangi kima wew!
Ukishaacha bangi ndio urudi hapa!Aliyeanza kutukana ni nani mpumbavu wewe! Ulitegemea nije hapa kukuperemba? Wenzako walvyoongea kibusara wewe ndo ulijiona unajua sana maneno ama?
Uliitwa hapa? Umeng'ang'anizwa kusoma hapa? You will be treated the same way you treat others. and you will get the side you propose.
Pathetic!
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app