Mkuu hii imeshaisha tayari soma tuloh huku sianzi kusoma saiv maana naona mshaanza sugua gaga mapema.
[emoji12] wala ucnilaghaiMkuu hii imeshaisha tayari soma tu
Ujue yupo online anatuona sanaMwenye namba ya Steve ampigie jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
hahahhh anaskia raha tunavyolalamika nawaza tu apa usikute tivu alikuwa anacopy sehemuYani jamaa hatuoni au??
Mungu anamuona lakini,angeandka mwisho pale mwishoni wala tusingehaika na stori yke[emoji134] [emoji134] [emoji134]Ujue yupo online anatuona sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu anamuona lakini,angeandka mwisho pale mwishoni wala tusingehaika na stori yke[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli mke mweeee tabu ya arosto yy haijui[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijawah kukopy asee. Naandika mwenyewe.hahahhh anaskia raha tunavyolalamika nawaza tu apa usikute tivu alikuwa anacopy sehemu