Njia ninazotumia kuepuka kukataliwa na mwanamke ninaemtongoza

mm nasemaga ningekuwa men ningekula mwanamke yyt anayenivutia !kumpata mwanamke easy sana... tena sana tu! sasa nyie puh mnakwaza !mtu anakuona na pete ya ndoa anaropokwa oh umeolewa?? wake za watu wanakuwaga hawaridhishwi nikabidh huo mwili nikuridhishe!khaaa unabaki unamshangaa huyukinyesi katumwa?dadek zao ! yaan uwe na pesa usiwe nazo easy sana kum-win mwanamke
Hebu tupe somo maana mh jiwe kashasema zalianeni tu
 
mm nasemaga ningekuwa men ningekula mwanamke yyt anayenivutia !kumpata mwanamke easy sana... tena sana tu! sasa nyie puh mnakwaza !mtu anakuona na pete ya ndoa anaropokwa oh umeolewa?? wake za watu wanakuwaga hawaridhishwi nikabidh huo mwili nikuridhishe!khaaa unabaki unamshangaa huyukinyesi katumwa?dadek zao ! yaan uwe na pesa usiwe nazo easy sana kum-win mwanamke
Wote mko sahihi. Mbiti, kwa kuwa ni mwanamke, anajua ni nini mwanamke anataka, hivyo, anaona ingekuwa ni rahisi kwake "kumkula" mwanamke yeyote amtakaye (kama angekuwa mwanaume). Kwenu ni vigumu coz Hamjua mahitaji hasa ya mwanamke ni yapi. Mbaya zaidi hiki kizazi kimeingiliwa. Unaweza ukatumia mbinu za kifilipino kuwin love kumbe mwenzio anataka hela mmalizane . Wakati huo huo kwa mwingine, ukitanguliza Hela unampoteza. Ataona kama vile umemweka kwenye kundi LA wauza tumbua .
Dada yangu believe me, unasema hivyo kwasababu wewe ni mwanamke (umeongea from your own female point of view) bila kuangalia reality jinsi ilivyo, i wish ungekuwa mwanaume ndo ungenielewa zaidi, kumla mwanamke yoyote anaekuvutia sio rahisi kama unavofikiria MBITIYAZA
 
mm nasemaga ningekuwa men ningekula mwanamke yyt anayenivutia !kumpata mwanamke easy sana... tena sana tu! sasa nyie puh mnakwaza !mtu anakuona na pete ya ndoa anaropokwa oh umeolewa?? wake za watu wanakuwaga hawaridhishwi nikabidh huo mwili nikuridhishe!khaaa unabaki unamshangaa huyukinyesi katumwa?dadek zao ! yaan uwe na pesa usiwe nazo easy sana kum-win mwanamke
Nikabidh huo mwili nikuridhishe
 
SAME HERE, ntam txt first time, ata jibu short au long whatever, nta txt tena second time... Atajibu tena, na text tena mara ya 3 na hii kwangu ndio huwa mara ya mwisho kum txt a lady... ( kumbuka mara ya 1,2,3 zote umemuanza wewe kum txt a lady, yeye walaaaa)

So baada ya mara ya 3 , chuna kama 2-3days, ukiona demu haja kutumia txt yoyote ile hata " Mambo, Good morning, Mzima, Mbona kimya "

Usipo ona hizo txt.... BE A MAN, PHUCK OFF. . Move on, delete her number.. Find another Lady.

Mwanamke Akiwa na interest na wewe, siku ukiacha kumtxt trust me 90% ata fatilia tu kujua why? Mbona ha txt tena? So ata ku txt yeye.... Ukiona kimya, means she is not into you.
 
mm nasemaga ningekuwa men ningekula mwanamke yyt anayenivutia !kumpata mwanamke easy sana... tena sana tu! sasa nyie puh mnakwaza !mtu anakuona na pete ya ndoa anaropokwa oh umeolewa?? wake za watu wanakuwaga hawaridhishwi nikabidh huo mwili nikuridhishe!khaaa unabaki unamshangaa huyukinyesi katumwa?dadek zao ! yaan uwe na pesa usiwe nazo easy sana kum-win mwanamke
Aisee ngoja tujifunze
 
Be careful, Naweza kukutembelea geto, tukaenda hadi Chato international airport, tukachati kwa masham sham hadi asubuhi na siku ukinambia serious unachotaka usipate 100%
 
Wote mko sahihi. Mbiti, kwa kuwa ni mwanamke, anajua ni nini mwanamke anataka, hivyo, anaona ingekuwa ni rahisi kwake "kumkula" mwanamke yeyote amtakaye (kama angekuwa mwanaume). Kwenu ni vigumu coz Hamjua mahitaji hasa ya mwanamke ni yapi. Mbaya zaidi hiki kizazi kimeingiliwa. Unaweza ukatumia mbinu za kifilipino kuwin love kumbe mwenzio anataka hela mmalizane . Wakati huo huo kwa mwingine, ukitanguliza Hela unampoteza. Ataona kama vile umemweka kwenye kundi LA wauza tumbua .

upo sahihi my dear
 
kila la heri
Kusema ukweli Mimi nasubiri mwanamke Ndo anitongoze maana naamini mwanamke Ndo anenjoy sana kuliko Mimi. Angalau hata ajipitishe pitishe hivi mfano huko pm nk ili kwangu iwe rahisi kutamka tu..bila hivyo mi ni kauzu wa kutupa. Lakini pia naamini raha ya mapenzi mpaka ufurahi ni mwanamke akutake yeye.. Utaenjoy sana. Nikimtongoza mwanamke km hajaonyesha interest na kukataliwa Naona km namlazimisha. Sio formula lakini.
 
hhhhhaaaaa mdogo wangu una safari ndefu sana!bas na ss tunapenda kuanzwa!unaanzia mbaaaaaaaaaaaaaaaalllllllllllliiiiiiiiii!
anywys upo sawa huenda!
 
Back
Top Bottom