Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,777
- 10,816
- Thread starter
- #21
Will do this early tmrTumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuizia
Will do this early tmrTumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuizia
Wadada wakareeeee wakutosha,Umesema bar, hujui walevi wanahitaji nini? Mweke Hamisa Mobetto hapo mji wote watahamia hapo.
Asifikie stage ya kunuiza na ungo tuTumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuizia
Tumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuizia
maji ya baraka ni uchawi! wewe wa wapi tenaUnasema wewe ni MKRISTO,then naona wazi umefanya uchawi mara mbili (maana umetumia huyo anaitwa kitimoto+mkaa,then maji ya baraka),
NASEMA WAZI KITU KINAITWA MAJU YA BARAKA NI UCHAWI NA NI BIASHARA YA HAO WACHAWI YAANI WANAOYAUZA AU KUKUPA,
Kuna njia MOJA TU ya asili,YAANI KUMTEGEMEA MUNGU TU WALA SI AKILI ZA MEMBER WA JF;
mithali 3:5
ipo wapi hiyo business niwe mteja wako wa kudumuWadada wakareeeee wakutosha,
Ni gafla tu bin vuuu imekata wateja,
na ni baada ya kuzuia , nahisi waliweka chuma ulete , so chuma ulete tukadhibit bas na vingne vimekata pia..
Biashara ya vileo imekaa Trick sana, Siwez kwenda kwa waganga na pia siwez kwenda kanisan kuibariki.
Ila nina iman kuna njia asili mbadala watu wanazijua.
Biashara ya bar mtatuz n mganga tu
Ushalizwa niniTaperi huyooo
Usipopata ya mabonge ya kawaida haifai?Tumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuizia