Upuuzi gani ndugu yangu si bora wameziondoaUpuuzi tu
V8 moja Tsh. 600,000,000Kwani mawaziri wakitembelea Paso kuna shida gani
Kwani wameondoa kwenye makato ya kutoa hela kwenye ATm na kwa wakala?? Mbona unasifia tu bureeUpuuzi gani ndugu yangu si bora wameziondoa
Na mbaya zaidi wako wengi, ingekuwa unachagua uzaliwe wapi, kamwe mtu huwezi chagua uzaliwe TanzaniaV8 moja Tsh. 600,000,000
Wenye V8 mpaka sasa...
Naomba msaada tafadhalini, endelezeni orodha...
- Mawaziri
- Manaibu Waziri
- Makatibu Wakuu
- Naibu Makatibu Wakuu
- Wakurugenzi wa idara za Serikali
- Wenyeviti wa bodi
- Wajumbe wa Bodi
- Wakuu wa Mikoa
- Wakurugenzi wa Mikoa
- Wakuu wa Wilaya
- Wakurugenzi wa Wilaya
- Wabunge?
- Wawakilishi...
Zile pasua kichwaKwani mawaziri wakitembelea Paso kuna shida gani
Hizi ni baadhi ya sehemu zilizofanyiwa kaziKwani wameondoa kwenye makato ya kutoa hela kwenye ATm na kwa wakala?? Mbona unasifia tu buree
Ungezaliwa ata Somaria hongeraNa mbaya zaidi wako wengi, ingekuwa unachagua uzaliwe wapi, kamwe mtu huwezi chagua uzaliwe Tanzania
acha kiherehere, wakuu wa wilaya Wana kazi kubwa kuliko wakuregenziPia serikali ni kubwa mno, baadhi ya wateule wapunguzwe.
Moja ya kada inayopaswa kupunguzwa ni WAKUU WA WILAYA.
Majukumu ya wakuu wa wilaya yanaweza kutekelezwa na wakurugenzi wa wilaya.
acha kiherehere, wakuu wa wilaya Wana kazi kubwa kuliko wakuregenzi
fafanua kwenye utoaji hapa mkuu, nimetoa jana makato ni yale yaleHizi ni baadhi ya sehemu zilizofanyiwa kazi
Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu (pande zote), kuhamisha fedha ndani ya benki moja, kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda benki nyingine pia tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha
Watanzania tupunguze malalamiko ndio maana wameona havina umuhimu wamepunguza kwaajili yetu wenyewe tena bado tuanze kulalamika Rais Samia Suluhu anajitahidi sana kuleta maendeleo na lemgo lake ni kuondokana na mikopo ili nchi iweze kujitegemeaSasa mishahara yao inafanya kazi gani kama hadi chai na sambusa maofisi kwao zinanunuliwa kwa kodi za wananchi hi nchi kuna kitu hakipo sawa
Hii ni serikali ya utekelezaji lazima itatekeleza na kama umeona nguvu ya umma imesaidia tozo hizi kupunguzwa kwaiyo hii ni serikali inayowasikiliza wananchi wakeNaunga mkono.
Ila kama kumpigia mbuzi gitaa tu.
Huna hoja yoyote, kwa nn majukumu ya wakurugenzi yasitekelezwe na wakuu wa wilaya?..hoja yangu ni kwamba majukumu ya wakuu wa wilaya yanaweza kutekelezwa na wakurugenzi.
..serikali itaokoa fedha nyingi za walipakodi ikiwa itafuta nafasi za wakuu wa wilaya nchi nzima.
Wakuu wa wilaya wapo toka nchi imepata uhuru ndugu yangu na itakuaje wilaya kama hakuna mkuu wa wilaya Rais Samia Suluhu anafanya kazi kubwa tumpe hongera zake ameikuta nchi kwenye janga la corona pia vita vya ukraine vikayumbisha uchumi lakini Tanzania tumeendelea kusimama..hoja yangu ni kwamba majukumu ya wakuu wa wilaya yanaweza kutekelezwa na wakurugenzi.
..serikali itaokoa fedha nyingi za walipakodi ikiwa itafuta nafasi za wakuu wa wilaya nchi nzima.