Njia kuu utata mtupu!

Njia kuu utata mtupu!

Price12

Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
46
Reaction score
9
Nawasalimu wanajamii wenzangu,huu usemi ni wa kweli kabisa"Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio"mwenzenu pasaka haitokuwa nzuri kwangu,nimegundua usaliti unaofanywa na mume wangu,imagine nimedumu njia kuu tangu tufunge ndoa like eleven years ago,nilimuamini saaaana,ni naamini ktk njia kuu,japo sasa nimekata tamaa,yaani maumivu bado nayasikilizia ni makali asikuambie mtu,uaminifu ktk ndoa ni jambo la msingi,unapokuwa mwaminifu ni kwamba umamkubali mwenzio kama alivyo!dah kinyume na hapo ni maumivu na uchungu usiomithilika.nimekuta ushahidi wa kutosha japo sijamfumania,na amekupa mdogo ,am confused!unaweza kujiaminisha uko njia kuu kuombe unachepukiwa na mwenzio.yaani tumbo la moto flani hivi ,kichwa chama ghafla ooh Lord have mercy on me.Pasaka njema nikumbukeni ktk maombi,make sitaweza kwenda kanisani nimejeruhiwa sana,sijui nimfanyaje.asante
 
Pole mpenzi ndoa zina changamoto zake,hivyo jipe moyo,asilimia kubwa ya wanaume wanapenda michepuko,Mungu atunusuru.endelea kuwa muaminfu.
 
Pole mwaya,Inuka songa mbele, Mungu atakupigAnia.wewe dumu kuwA mwaminifu tu usichoke kumtegemea Mungu.jitahidi upended kanisani itakusaidia kuzunguza machungu.
 
Kipimo cha uaminifu wako hicho kama unaimani jidhirishe kuwa hubahatishi
 
...

....HA HA HA lisimamishe katikati ya barabara na uweke magogo na mawe ikibidi vunja madaraja yote Barabara kuu !!!!!

cc Members wa The picnic Arachuga !!!
 
Mmmmmmmmh! At times like these LIFE BECOMES REALLY A BITCH! 11 years aint a joke! ONLY I GOD WE TRUST BUT IN HUMANS FURTHER INVESTIGATIONS ARE MORE THAN NECESSARY!

But you are still one lucky sister looking on the bright side you enjoyed STRES FREE MARRIAGE FOR 11 YEARS! That is somethin to be proud of.
 
Pole bibie,ila mimi nikukumbushe tu kuwa hatubaki njia kuu ili kuridhisha wenzi wetu au sababu tunaamini wenzi wetu pia wapo njia kuu,bali tunabaki njia kuu sababu ni jambo la msingi kiroho na kimwili kukifanya

Mungu atakupigania,muombe Mungu ambasilishe na ajifunze kwa alichofanya
 
mbona sikuelewi elewi hivi..! naona unalia tu dada bila kueleza ilikuwaje!

pole lakini dada Price12, kama vipi tafuta soft drink humu ndani ujipumzishie kwa muda.!
 
Last edited by a moderator:
pole shougeer hawa wanaume hata umpe nyama ya ulimi hawaridhiki......teh teh teh msinirarue ninasimamia ukweli
tatizo ni kwamba mkiwa kwenye ndoa mnakuwa kama mko guantanamo bay.

ubunifu unakuwa zero, kila siku mwataka jinsi anavyokufa mende tu, hamjui kuboreshana aisee!
 
Pole sana my dear. Pambana ndio changamoto za maisha including ya ndoa. Usife moyo mtegemee Mungu wako katika kila jambo. wakati mwingine tunaanguka au kuteleza.
 
pole bibie,ila mimi nikukumbushe tu kuwa hatubaki njia kuu ili kuridhisha wenzi wetu au sababu tunaamini wenzi wetu pia wapo njia kuu,bali tunabaki njia kuu sababu ni jambo la msingi kiroho na kimwili kukifanya

mungu atakupigania,muombe mungu ambasilishe na ajifunze kwa alichofanya

sure thing mkuu,umenena vyema
 
Pole sana bibie inauma sana 11 yrs?
Endelea kuwa mwaminifu Mungu ypo na anaona chozi na uchungu wako.

Jitahid kumsamehe na kuvumiliana ndo zana kuu za mwanamke ndoa zina changamoto nying

Mtimizie mahitaj yake kuwa mbunifu japo sijajua una watoto wangap na mnaishi vip au kuna tatizo gani
Kama unahis tabia kaanza now angalia tatizo ni nn kama marekebisho Fanya
Jitahid kuongea nae kwa maana hawa viumbe wamatisha magonjwa ni meng siku hizi chepuko nalo lina chepuko lake..mtandao ni mkubwa.Mungu akujalie Nguvu
 
Linapo tokea tatizo kama hilo jitazame kwanza kisha ujiulize WHY? Then kabla ujapandwa na maruhani ambayo kimsingi shetani ndiye mratibu wake uwe atleast umepata majibu ya mabadiliko na wajibu wako kama mke ndani ya nyumba unatimiza kama zamani au umebadilika. Tafuta chanzo na sii kulipiza kisasi katika dunia yenye ukwimi tishio. Mtafuta janga ula na nduguze
 
mbona sikuelewi elewi hivi..! naona unalia tu dada bila kueleza ilikuwaje!

pole lakini dada Price12, kama vipi tafuta soft drink humu ndani ujipumzishie kwa muda.!

mhhhhhhhhhhh hiyo softi drink ya aina gani
 
Last edited by a moderator:
Mtu kama huyo aliyekusaliti ni kujitenga naye kwa muda haswa kwenye haka kalikizo cha sikukuu,ebu omba ruhusa kdogo,ukapumzke kwa wazazi wako,maana hao huaga na upendo wa kwel!
 
Back
Top Bottom