Njia katili ya kumwacha mchepuko msumbufu

Njia katili ya kumwacha mchepuko msumbufu

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
381
Wadau nitajieni njia kadhaa mbaya katili za kumwacha demu wako ambae anakung'ang'ania yani zitakazomfanya asiwe na hamu tena na wewe
 
Ngoja waje watu wenye uzoefu wa tatizo kama lako.
 
Kagonge dadake/ shosti ake wa karibu na video ya mechi umuonyeshe.
 
Hivi unaweza kuumiza kichwa jinsi ya kuacha mchepuko, ile ni perishable business ambayo wote wawil mnapaswa kuelewa hilo.
 
Hivi unaweza kuumiza kichwa jinsi ya kuacha mchepuko, ile ni perishable business ambayo wote wawil mnapaswa kuelewa hilo.
Someone naona kaandika kabisa niliyataka kuandika hapa. Mchepuko is not permanent, you can part ways anytime ,any day.
 
Hapo inategemea na ww ulimwambiaje wakati mnaanzana. Huenda ulivyomwambia ndio inakuwa sbb ya kukuganda.
Fanya kumpotezea, usipokee calls zake wala kujibu sms badae atajiongeza mwenyewe.
 
Mvalie condom kibao then mtombe hovyo hadi achubuke...hakurudii tena
 
wengi tunahisi kumfanyia ukatili mpenzi anayekuganda kuwa ndo habari ya mjini... ila sasa akifanikiwa kukuacha tambua utamkumbuka kuliko... na kumrudisha upendo wake wa zamani itakuwa ndoto tena!!! tafakari mkuu kabla hujaamua!
 
Back
Top Bottom