Njia inayoweza kutupatia viongozi bora na wenye uwezo wa ajabu

Hapo kwenye uwiano wa kijinsia ndio umeharibu.

Sasa kati ya hao watatu wakiwa wanaume wote itabidi umuache mmoja ili umchomeke mwanamke mmoja?
Mkuu, ukifanya randomly sampling & competence based sorting lazima upate reprentative sample yenye watu wote including wanaume na wanawake. Otherwise labda tuseme kuna kundi halina akili lakini kama wote wana akili watatokea tu.
 
number 4 kwenda kwa wabunge no,mimi nahisi hamna haja ya kupitia huko,hatua zote zingine ulizotaja ni nzuri
 
Back
Top Bottom