Utakuwa na hormone za ki shori zaidi. Jiangalie mzee.
Ipo ila usiombe uende jela na hio hali maana utarudi bwabwa in full package. Kama ni mwanao usimpeleke boarding.hii hali ipo bwana ..
Ukiwa mtu wa kujali jali sana katika hii dunia ndio utaishia kulia lia deile na sio kwamba watu wana shughuli na machozi yako. Wataishia kukuona mjinga.Jifunze kuwa mtu wa kutokujali baadhi ya changamoto hasi zinazo kukuta
Jali sana kuhusu wewe mwenyewe na maisha yako ... Watu Kama wako wengi huwa wako very decent bahati mbaya waliyonayo Ni kwamba dunia imejaza watu wengi ambao ni Watesi wasiojali hisia za watu wengine so mara nyingi watu wa Aina yako huwa wanaishia kuumizwa tu na watu wengine kwa sababu watu wengi huwa hawajali kuhusu maisha ya wengine Huwa wanajijali waowenyewe zaidi
tafuta kitu Ambacho Ni hobby yako uwe unajikeep busy nacho itakusaidia sana kuweza kusahau manyanyaso unayo fanyiwa na walimwenguv
Mimi kidogo Ni hali Kama hiyo ya kwako ila wewe mwenzangu' umenizidi
Sure na ndio hicho Ambacho najaribu kumueleza mleta mada .. dunia imejaa manyang'au wengi sana imefikia hatua ukiwa mtu wa kujali jali sana unaitwa bwegeUkiwa mtu wa kujali jali sana katika hii dunia ndio utaishia kulia lia deile na sio kwamba watu wana shughuli na machozi yako. Wataishia kukuona mjinga.
Dunia ina makatili sana make sure unajifunza kuishi nao.
Mtesi mwingine hatakua uyo alienza ku replyJifunze kuwa mtu wa kutokujali baadhi ya changamoto hasi zinazo kukuta
Jali sana kuhusu wewe mwenyewe na maisha yako ... Watu Kama wako wengi huwa wako very decent bahati mbaya waliyonayo Ni kwamba dunia imejaza watu wengi ambao ni Watesi wasiojali hisia za watu wengine so mara nyingi watu wa Aina yako huwa wanaishia kuumizwa tu na watu wengine kwa sababu watu wengi huwa hawajali kuhusu maisha ya wengine Huwa wanajijali waowenyewe zaidi
tafuta kitu Ambacho Ni hobby yako uwe unajikeep busy nacho itakusaidia sana kuweza kusahau manyanyaso unayo fanyiwa na walimwenguv
Mimi kidogo Ni hali Kama hiyo ya kwako ila wewe mwenzangu' umenizidi
Mtesi mwingine hatakua uyo alienza ku reply.
But I got you nitalifanyia kazi
kibongo bongo utakuwa unateseka sana, maana wabongo kwa kero!
Ipo ila usiombe uende jela na hio hali maana utarudi bwabwa in full package. Kama ni mwanao usimpeleke boarding.
Yeah unaonekana mpuuzi. Kuna msemo mmoja naishi nao. "Ukifikiri dunia itakuwa na huruma kwako kwa vile unawaonea watu huruma basi ujiandae kuumia daima"Sure na ndio hicho Ambacho najaribu kumueleza mleta mada .. dunia imejaa manyang'au wengi sana imefikia hatua ukiwa mtu wa kujali jali sana unaitwa bwege
😆😆wabongo wanachamba mpaka wazungu waliopo majuu kwenye acc zao sembuse mbongo mwenzao !!!!
Utakuwa na hormone za ki shori zaidi. Jiangalie mzee.