kindaboyi
Member
- Apr 5, 2018
- 23
- 23
Nimemfuata kiustarabu imeshindikana, nimemfuata kiukali lkn wap, nimeongea na watu wake wa karibu pamoja na familiya yake nimeambulia patupu, nikamtishia kumpeleka mahakamani akasema hatukuandikishiana popote hamna shahidi, sasa jamani nitumie njia gan nyingine nilipwe deni langu? Naombeni ushauri
