Una apply kazi part time kwenye kampuni au taasisi yoyote kubwa kama Internet marketing consultant, kazi yako itakuwa ni kumanage social media accounts zao zote kwa kupost enganging contents, kama unajua photoshop itasaidia kidogo. pili ni kuandika recommendations kuhusu taasisi husika kwa related platforms, let's say ni hotel...so marketing platforms ni kama Tripadvisor.com, Lonelyplanet.com nk
Jaribu Gambling,betting.
Fungua Blog na post habari za Kizungu baada ya 6month na aply google adsence anza kupiga hela online. Kwa mahitaji ya Blog yenye post za lugha ya kizungu yenye umri wa 6month ni pm tufanye biashara.Wakuu Nina mpango WA kufanya hizi shughuli za online business ili nijiongezee kipato,naomba kuuliza kwa wataalam walioishafanya shughuli je Ni njia ipi au kampuni ipi Ni best ktk hizi biashara???
Fungua hii link tatizo lako kwisha kabisa: http://ipasmillionaire.com/?id=32025&tid=whatsup
Wizi mtupu nitaenda kukushtaki ww,,,,ohoooo mwizii mkubwaaaa ww na tapeli sanaaaaa ma.la..ya ww..
Fungua hii link tatizo lako kwisha kabisa: http://ipasmillionaire.com/?id=32025&tid=whatsup