Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,531
- 94,727
Mapenzi, Mahusiano na UrafikiSamahani..Kirefu cha MMU Ni nini...seriously Huwa nashindwa kuconnect dot
Mapenzi, Mahusiano na UrafikiSamahani..Kirefu cha MMU Ni nini...seriously Huwa nashindwa kuconnect dot
Hahahahaaaa daaah.., niko bizy asee mimi cwezAcha kumsakama mwenzio na wewe ufanye ukitaka..@Josevest
I see it broUmeona eee
Hapana cna maana hiyo, ila hiyo kujikuta mapenzi yamekata ghafla kwa mwenzie bila sababu ndo imenishangaza mkuuKwa uzoefu wako akutane nae kimwilii ili hamu zipunguee
Mwambie ana kibamia hivyo hakuridhishiMi naulza njia bora ya kumuacha mwanaume!?

Mwambie tu ckutakii uone kma hata iyo text atajibu atakula mikausho mikalii na moviee ndo ltaisha ivooMi naulza njia bora ya kumuacha mwanaume!?
Just simple kabisa,,muite sehemu ya faragha hata iliyotulia"baby samahani naomba lakini usinielewe vibaya,safari tuliyotaka kuianzisha naomba iishie hapa,na ukipata mtu mwenye nia ya kujenga maisha muyajenga mie nimebadilisha maamuzi,kifupi inabidi tuachane tu na hili ni kwa nia njema tu" kisha muage na ondoka kama Ruthu.Ikiwa ni siku nyingne tena tunakutana kwenye jukwaa letu pendwa la MMU.
Leo naomba ushauri kidogo juu ya hili swala,
Kuna bidada mmoja tulifanya nae biashara fulani, baadae tukaendelea kuwasiliana kama marafiki wa kawaida.Ila yule binti anajifanya mlokole sana tena sana, baada ya muda fulani nikamrushia ndoano bidada akajaa mazimamazima..
Ila baadae ikatokea hali ya kutokumpenda tena na sikuwahi kugegedana nae japo anaonyesha dalili zote za kuhitaji mchezo, Nikaanza visa vya hapa na pale ila naona ndo kwanza spidi ya kunipenda inazidi maana inafikia hatua kosa nafanya mm harafu yeye ananiomba msamaha mimi.
Kutoka moyoni huyu binti sina hisia nae tena na sihitaji kumgegeda sabab mm siwezi lala na mwanamke nisiyehitaji kuwa nae. Huyu binti anapiga simu kwa siku zaidi ya mara kumi japo mm simpigii wala kumtumia SMS.
Naombeni mnishauri njia bora ya kumuacha bila kumuachia maumivu yoyote maana muda mwingine namuonea huruma jinsi anavyohangaika juu yangu ili hali mimi sina malengo nae na sihitaji kumpotezea muda wala malengo yake..
Asanteni sana
Magu ndo hajaribiwiulimtongoza ili iweje sisi hatujaribiwi acha kucheza na moya wa mtu jamaan
Kabla ya yote...;umejifunza nn apo
Nashukur sana mkuu kwa huu ushauri na hii naona kuwa ndo njia bora zaidi ya kutumiaJust simple kabisa,,muite sehemu ya faragha hata iliyotulia"baby samahani naomba lakini usinielewe vibaya,safari tuliyotaka kuianzisha naomba iishie hapa,na ukipata mtu mwenye nia ya kujenga maisha muyajenga mie nimebadilisha maamuzi,kifupi inabidi tuachane tu na hili ni kwa nia njema tu" kisha muage na ondoka kama Ruthu.
mwanzoni hata kuelewa ila with time she will catch up a her own lines.
Ahahahaha sio yote mkuu...kwa mfano Siasani kule nakatizaga mara chache sanaCc: Joseverest naic umesubscribe forum zote JF..![]()