Njia bora ya kumuacha mwanamke

Njia bora ya kumuacha mwanamke

Kwa nini ulimtongoza sasa kama hukuwa na hisia nae? We unajua mwanamke akipenda Kapenda kweli..

JIFUNZE KUHESHIMU HISIA ZA WANAWAKE MKUU..USICHEZE NA HISIA ZAKE..WATU KAMA NYIE NDIO MNATUFANYA WANAUME WENGINE TUONEKANE WABAYA
We ni me au ke?
 
Mwanaume mpenzi au mume? Kama ni mpenzi si unapiga chini tuuu?
Mpnz natamani kumuacha namuachaje sasa? Ajanikosea chochote ila i want to move on na ka mchumba kapya
 
Ni vibaya sana kumpotezea muda mtu ambae unatambua fika huna future nae. Muweke wazi mwambie sitaki tena kuwa na wewe. Ni ukweli mchungu na unauma sana lakini yatapita.
 
Njia bora ya kumuacha ni kumwambia ukweli kuwa unamuacha, ashike hamsini zake mapema. Si vizuri kumfanyia visa.
 
Ni vibaya sana kumpotezea muda mtu ambae unatambua fika huna future nae. Muweke wazi mwambie sitaki tena kuwa na wewe. Ni ukweli mchungu na unauma sana lakini yatapita.
Jamani tatz moyo huu ndo chanzo taste imeisha kabsa haka kamchumba kapya kanataka kunimarry jamani...!
 
Angalia tu usije ukaenda kwa boya zaidi. Kukutangazia ndoa kusikufanye uchanganyikiwe. Usiingie kwenye ndoa kwasababu unahitaji ndoa. Itakucost..
 
Nikajua ni mimi tu mwenye tatizo hilo kumbe tuko wengi..
 
Jamani ndo hvyo tuko weng kabsa.. Sasa unaanzaje kumwambia mm na wew basi asiumie jamani hako ndo my point
 
Angalia tu usije ukaenda kwa boya zaidi. Kukutangazia ndoa kusikufanye uchanganyikiwe. Usiingie kwenye ndoa kwasababu unahitaji ndoa. Itakucost..
Mwee! Kumbe nifanyeje jamani
 
Mpnz natamani kumuacha namuachaje sasa? Ajanikosea chochote ila i want to move on na ka mchumba kapya
Kwani kumuacha mtu mpaka awe amekukosea? We mwambie tu uhusiano wenu umefika mwisho. Huna hata haja ya kutoa sababu. Ukatili ni pale ambapo hutamwambia ukweli

Mimi huwa napenda mtu aniambie tu waziwazi. Anakuwa ameniheshimu na kujali hisia zangu
 
Back
Top Bottom