Njia bora ya kumuacha mwanamke

ulimtongoza ili iweje sisi hatujaribiwi acha kucheza na moya wa mtu jamaan
 
Mwambie huyo Dada ukweli unavyozidi kumpotezea muda ndo utamuumiza zaidi na nyie ndo mnasababisha wadada wanakuwa wanachukia wanaume akitokea anayempenda kweli anakuwa amuamini na hawezi penda tena kama zamani..pls mwambie huyo Dada sasa ataumia tu now ila itamsaidia kuliko kuendeleaa kupoteza muda wake..
 
Kwann Ulimtongoza? Mwleze ukweli kuliko kumpotezea muda. Na ck ukikutana na pasua kichwa unaempenda ww yy hakupendi umtafute huyo wa sasa
 
Ikiwa ni siku nyingne tena tunakutana kwenye jukwaa letu pendwa la MMU.
Leo naomba ushauri kidogo juu ya hili swala,
Kuna bidada mmoja tulifanya nae biashara fulani, baadae tukaendelea kuwasiliana kama marafiki wa kawaida.Ila yule binti anajifanya mlokole sana tena sana, baada ya muda fulani nikamrushia ndoano bidada akajaa mazimamazima..
Ila baadae ikatokea hali ya kutokumpenda tena na sikuwahi kugegedana nae japo anaonyesha dalili zote za kuhitaji mchezo, Nikaanza visa vya hapa na pale ila naona ndo kwanza spidi ya kunipenda inazidi maana inafikia hatua kosa nafanya mm harafu yeye ananiomba msamaha mm.
Kutoka moyoni huyu binti sina hisia nae tena na sihitaji kumgegeda sabab mm siwezi lala na mwanamke nisiyehitaji kuwa nae.
Huyu binti anapiga simu kwa siku zaidi ya mara kumi japo mm simpigii wala kumtumia SMS.
Naombeni mnishauri njia bora ya kumuacha bila kumuachia maumivu yoyote maana muda mwingine namuonea huruma jinsi anavyohangaika juu yangu ili hali mm sina malengo nae na sihitaji kumpotezea muda wala malengo yake..Asanteni sana
Iliwahi kunitokea ila nikaona nifanye kweli kila mtu roho yake iridhike. Alihitaji kugegedwa nampa na mm namaliza mizuka yangu.
 
Nipe uzoefu wako jinsi ya kulitatua hili bila madhara yoyote kwa upande wake..
Mkuu mimi haijawahi kunikuta ila nikwambie tu maumivu lazima yawepo tu pande zote mbili.... kivipi...Kwa mwanamke alikuwa anakutegemea sana mngeyajenga mahusiano vizuri..ina maana alishakuweka moyoni na haoni mwingine, sasa ukimuacha ghafla tu hivi atapata maumivu yasiyoelezeka na ndio inafanya watuchukie sisi wanaume na atapata tabu sana kuanzisha mahusiano mapya...

kwa upande wako, wewe hapa mwanzoni utafurahia utaona sawa..bora hata nimeutua mzigo...
kimbembe kitakuja pale utakapopata mwanamke mwingine ambaye atakufanyia visa na mambo ya ajabu au pengine wewe unampenda lakini yeye hakupendi kihivyo...automatically na wewe utapata maumivu na unaanza kumkumbuka yule EX wako wa kwanza...(hii inakuwa kama laana fulani hivi toka kwa ex wako)

YAANI NASHINDWA KUKUSHAURI NJIA IPI NI SAHIHI YA KUMUACHA, KWA MAANA TABIA NA AKILI ZA WANAWAKE ZINATOFAUTIANA MKUU
 
Mm naona hilo tatizo lako ebu jalibu kukaa na mama yako , ma mdogo , Dada yako na shangazi yako amini watakupa Njia nzurii ya hilo unaloliona tatzo na uwe mwazi kwa hawo ndugu zako
 
Walokole wanakuwaga na nyege sana haswa ukute hana bf....bora hata usingemchokonoa mtt wa watu
 
Yaani huyu gluk kaniboa kweli, hivi ukimpenda mtu kadri ck zinavyoenda c upendo ndo unaongezeka tena hawajakutana kimwili that means kila mtu anaham na mwenzie. Mmmmmmmh
Kwa uzoefu wako akutane nae kimwilii ili hamu zipunguee
 
Back
Top Bottom