mdida
JF-Expert Member
- Jul 14, 2011
- 1,607
- 778
Good! mwingine hata ndani hakushiki kiuoni akitoka mbele za watu ndo anataka aonekane. hata mimi sipendi kwa kweli tuna mila zetu na tuziheshimu.especially kulana mate kwenye kadamnasi sitaruhusu kabisa.Hiyo # 1 sikubaliani nayo, hayo ni mambo ya kuiga. Sipendi nipewe kiss au nishikwe kiuno sehemu ambayo najua atapita mzee wangu au mtu ninaemuheshimu. Kwa mimi na mila zetu naona ni ushamba fulani, yes mikono yaruhusiwa lakini zaidi ya hapo in public naona kama sio appropriate.