Hao jamaa walimstahi tu huyo Mama, huoni hatahivyo wanacheka? Sinoni kama katumia nguvu kuwakwida, kawa hiyo si Tanganyika Jeck, Weee, usicheze na Tanganyika jeck, ncha za miguu zingekuwa zinagusa chini. Vinginevyo, wangeweza kukimbia hao ila wakawaona ngoja wamheshimu tu, sasa tujue nini kiliendelea baada ya hapo.