Emilia JF-Expert Member Oct 21, 2011 266 86 Jul 20, 2012 #22 Uvivu na kuchagua kazi,ndio matokeo yake hayo kudhalilika.
M mzee wa njaa JF-Expert Member Jun 16, 2011 1,366 223 Jul 20, 2012 #23 Tabia hiyo mbaya sana wote wazinzi tu.
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Nov 20, 2010 1,802 282 Jul 20, 2012 #24 Lakini mimi namkubali jamaaa, ingawa ni zuzuuuu..... Mikogo na majigambo anamifurahisha!!!! @PJN at Mtwara Gas City
Lakini mimi namkubali jamaaa, ingawa ni zuzuuuu..... Mikogo na majigambo anamifurahisha!!!! @PJN at Mtwara Gas City
MVUMBUZI JF-Expert Member Jan 8, 2011 5,182 2,304 Jul 20, 2012 #25 kwa nini mmeweka hapa hadi mke wake aone kama siyo uchonganishi?