njemba amkimbia demu gesti bila kumlipa,demu azua valangati,palichimbika

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
NJEMBA.jpg Issa Mnally na Shakoor Jongo
TIMBWILI la aina yake limeibuka baada ya msichana mmoja aliyedaiwa kuwa changudoa kumng’ang’ania njemba moja iliyojulikana kwa jina moja la Shabani kwa madai kwamba alimkimbia gesti bila kumpa fedha yake baada ya kumla uroda.
Tukio hilo la aibu lilitokea Jumamosi, Julai 7, mwaka huu mishale ya saa tisa na dakika zake za usiku, katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar ambapo Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ ilikuwa ikipiga shoo.
Dada huyo ambaye alionekana kucharuka vikali, alimtaka jamaa huyo kumpa chake baada ya yeye kumtimizia haja zake.
“Huyu si mstaarabu kabisa...mimi sikubali hadi anipe changu. Nilikuwa naye gesti, akaniambia atanipa pesa yangu kwenye gari, baadaye natoka nje nakuta ameondoka. Anipe 20,000 yangu tuliyokubaliana,” alipiga kelele dada huyo huku waungwana wakijaribu kuwasuluhisha.
Hata hivyo, pamoja na varangati hilo, ‘chips funga’ huyo hakuambulia 20,000 achilia mbali buku mbili.
Mwanaume aliyekuwa akifanyiwa vagi na dada huyo, alipoulizwa na mwandishi wetu juu ya tukio hilo, hakutoa ushirikiano ambapo alisisitiza picha zilizopigwa zifutwe kabla hajafanya kitu mbaya.
“Brother kwa usalama wako nakuambia futa hizo picha, hunijui mimi ni nani, sasa usitafute matatizo,” alichimba mkwara ambao haukusaidia kitu, ndiyo maana sasa hivi unasoma habari hii na picha za kumwaga ukurasa wa nyuma.
 
njemba 2.jpg demu ameanzisha valangati kwa jamaa baada ya kula uroda na kugoma kumpa 20,000tsh
 
Huwa nachukia sana watu wenye tabia za kudhulumu wengine haki zao.Kama mtu mmekubaliana kwa nini umdhulumu?Hii aibu ameitaka mwenyewe kwa sababu ya ujinga wake
 
Hii ndiyo nini sasa kudai chako au kujidhalilisha zaidi.
Maana hawa waliomzingira wakitabasamu sijui walikuwa wanafurahia nini!. Yawezekana walikuwa waki**masa MEWATA zinazoonekana kuning'inia.
attachment.php
 
mambo ya kuzulumu siyo mazuri,na mwisho wake uwa mbaya,ona uyu baba sijui atawaambia nini nyumban
 
TANZANIA BILA ukimwi HAIWEZEKANI .......................until people turn to JESUS! it is ONLY JESUS SAVES.
 
Sasa unazibaziba nini bana, si uachie ili waone aibu kwa waliyoyafanya!

Halafu na huyo jamaa kama hakufuata kanuni za kiusalama aende akapime kabisa, maana kwa mapele ya huyo dada sijui kama usalama upo hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom