Nje ya box

Nje ya box

Unaweza ukapigana na wala huwezi kua kama bakharesa
Unakesha usiku kisha hakuna kinachoeleweka
Unabaki ohhhh hawa wanawake wananitesa
Nafikri nimelogwa na PALESA, AISHA au MANETA
Ukisha kuja stuka huna pesa, mabega yamepanda juu kama mkonga wa trekta
Unabaki unalalamika mtaani wananicheka, rafiki zangu maisha yao wanaendelea kupeta
Rudi ndani ya box ili upate kueleweka
Nakutakia maisha mema ili uzidi kuneemeka
 
Kitufe cha LIKE kiko wapi?
 
Kitufe cha LIKE kiko wapi?

Angalia mwisho wa sentesi yako inayosema
Kitufe cha LIKE kiko wapi? angalia, mwisho kwa upande wa kulia
Kisha unaweza hiyo neema kunijalia
Wewe unajua kitufe mahali kilipo ila najua unanitania
Mimi siwezi kuwa na shaka najua wewe ni miongoni mwa wanafamilia
Tuzidi kutakiana mema katika hii dunia, iwe kwa nia au nadharia
Nakutakia shughuli njema katika purukushani zilizojaa kwenye hii dunia
Najua wewe utashinda sababu umejaaliwa na unayo kila sababu ya kufanikiwa
 
Hyo nje ya box some men js can't handle it,ht kama unamuheshimu anajistukia that he is not respected..
 
naupenda huu wimbo jamani!ahahahhahahahha sijui ndo nataka kuwa Yo Yo
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukapigana na wala huwezi kua kama bakharesa
Unakesha usiku kisha hakuna kinachoeleweka
Unabaki ohhhh hawa wanawake wananitesa
Nafikri nimelogwa na PALESA, AISHA au MANETA
Ukisha kuja stuka huna pesa, mabega yamepanda juu kama mkonga wa trekta
Unabaki unalalamika mtaani wananicheka, rafiki zangu maisha yao wanaendelea kupeta
Rudi ndani ya box ili upate kueleweka
Nakutakia maisha mema ili uzidi kuneemeka

ntakupeleka TAMADUNI MUSIC
 
Mie napenda tu alichofungasha yule mdada wallah nimeuona leo nikafikiria what if i were a man!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom