Mungu nijalie demu mpenda pesa/
kila siku nipigane kuwa Bakhresa/
asinipende mimi apende Verossa/
demu wa shida na raha anamisoto sana/
huyo demu hanifai changamoto hana/
ikiwa demu wako anapenda vidogo/
huwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo/
demu amsifie sana boss wangu/
nikasirike kesho nijenge kiwanda changu/
sitaki demu wa kitanga/
jioni moja kanga/
tayari amejipanga kwa mabusu mangapi/
demu ninae mtaka manka wa kichaga/ jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi?/
kila siku nipigane kuwa Bakhresa/
asinipende mimi apende Verossa/
demu wa shida na raha anamisoto sana/
huyo demu hanifai changamoto hana/
ikiwa demu wako anapenda vidogo/
huwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo/
demu amsifie sana boss wangu/
nikasirike kesho nijenge kiwanda changu/
sitaki demu wa kitanga/
jioni moja kanga/
tayari amejipanga kwa mabusu mangapi/
demu ninae mtaka manka wa kichaga/ jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi?/