Nje tunaye Rais mmoja tu wengine wote ndani

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Rais wa Tanzania ni mmoja tu.

Hawa wengine

Rais wa TLS Rumande
Rais wa simba Rumande
Rais wa TFF Rumande

Mwingine akijiita Rais asubiri moto wake.

Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.

‍♂

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1dfa1924a00fbc408ef4931cd846411b.jpg


Fursa2017
 
Back
Top Bottom