Njama za kummaliza Dk. Slaa, CHADEMA zabainika

Joss, well said bila shaka hata yaliotokea Northern Africa hayakutegemewa pamoja na nguvu zote za watawala.
 
Hiyo ni mbinu ya kuwatisha wananchi.robert Mugabe alitumia mbinu hiyo kule Zimbabwe hadi Morgan Tsavangirai akasusia duru ya pili ya uchaguzi kwa kuwa kila mkutano wananchi walikuwa wakiuwaawa na kuteswa.Hapa haturudi nyuma

Nilishangaa watu wengine wanakurupuka na kutoa maneno ya kufuta chama cha siasa bila kufikiria mwenendo wa vyombo vya diola katika kukwaza demokrasia....

Asante Ben, hapo umenena.
 
CCM ni wendawazimu literary. Wamefumba macho yao wakadhani kwa vile hawaoni basi na wananchi wote pia hawawaoni; kisha wakaanza kufanya vituko vyao. NO! Wananchi tunaangalia, tunafuatilia na tunajua kila mfanyacho.
 
Mimi nakubaliana na hoja, anayewindwa kuuwawa ni dr, Slaa. Mtindo huu wa mabomu utakuja kutumika kwa viongozi wa CDM ikiaminika kuwa kulitokea fujo na ikabidi kutumia mabomu; kumbe bomu moja litatumika kama lile lililomuua Mwangosi kwa viogozi wa cdm.

Mkuu UNO, na halo ndipo pale nchi ambapo "haitatawalika" na viongozi wa nchi kuhofia amani, kwani assasination itakuwa kitu cha kawaida..
 
Akifa dr. Slaa patachimbika

We, We, WE ah, usiseme! sio patachimbika tu bali udongo wa chini utakuja juu na wa juu utakwenda chini. Kama wao ni wanaume wajaribu! sipati picha!!!. Lakini tumwombe Mungu sana Lisitokee hilo kwani kisiwa cha amani kittageuka PEPO LA MACHUNGU
 
Tendwa naye kahesabiwa kwenye sensa. Inabidi kwenye sensa zijazo kiwekwe kipengele cha kama ana akili timamu au chizi, maana mnaweza kuwa mnajibizana na mtu kumbe hazimtoshi.
 
nakubaliana na wewe 100% kwenye njama za kukiharibia chadema. lakini kuhusu dr. slaa kuuwawa itakua ni stori za kitaa. nakubali kwamba ccm ni chama ambacho kimekosa mwelekeo. lakini nadhani wakitaka kumuua dr. slaa kuna njia kama za kuwekeana sumu au kuchomwa sindano zenye kuleta ugonjwa au akiwa anasafiri watengeneza ajali. kwa kifupi wanaweza kutumia njia zingine ili wasionakane wanahusika. dr. slaa ni mtu maarufu sana kuuliwa na polisi mchana kila mtu anaona, itawaletea msala ndani ya nchi watu wataandamana na nje ya nchi wazungu wanaweza kubana kuleta misaada. so mimi binafsi naona stori ya dr. slaa kuuwawa itakua ni stori za kitaaa
 
Tendwa naye kahesabiwa kwenye sensa. Inabidi kwenye sensa zijazo kiwekwe kipengele cha kama ana akili timamu au chizi, maana mnaweza kuwa mnajibizana na mtu kumbe hazimtoshi.
kaka ujui mpaka sasa kama tendwa ni ccm. utanishangaza kama ujui?
 
Mimi nakubaliana na hoja, anayewindwa kuuwawa ni dr, Slaa. Mtindo huu wa mabomu utakuja kutumika kwa viongozi wa CDM ikiaminika kuwa kulitokea fujo na ikabidi kutumia mabomu; kumbe bomu moja litatumika kama lile lililomuua Mwangosi kwa viogozi wa cdm.

Hilo ndio lengo kuu la ccm na polisi. Yaani KUMUUA Dr. SLAA kitaalamu zaidi ili waendelee kutawala. Wakifanya hivyo tu, Genocide ya Rwanda itatokea TZ
 
Si mmesikia juzi Tendwa kafunguka? Hatua ya mauaji wameona imefanikiwa. Sasa Tendwa anaashiria kuanza kwa part II. Na CDM watawafutwa kweli. Si mmeona tafsiri yake? Eti kufungua mashina vijijini ni kampeni.
 
Back
Top Bottom