Njama za CCM hizi hapa

Njama za CCM hizi hapa

Elineema Mosi

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
255
Reaction score
72
Ndugu wana JF,

Ndugu kwa Habari nilizozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba. Wanajua kabisa 2015 hata wakatambikie ni wazi hawawezi kushinda uchaguzi ujao [Wana CCM wote wanajua hilo Mwigulu unajua fika] hivyo wameamua kuja na staili ya aina yake ili kubaki madarakani, MBINU HIYO NI:

- Kuungana na chama cha NCCR Mageuzi na CUF ili kupata nguvu hivyo juhudi za kufanikisha mpango huu amepewa Nape na Mwigulu, kwa kiasi fulani hawa jamaa nimefanikiwa kumlainisha kiongozi wa NCCR Mageuzi kwa kumwomba mwenyekiti wao ampe ubunge, hivyo wanasubiri ajenda hiyo ijadiliwe kwenye kamati kuu ya hicho chama then wamalize mchakato wake.

- Kutengeneza Hujuma kabambe na kumpachika mgombea Urais wa CHADEMA ili kukidhoofisha zaidi, hii imepangwa kufanyika mwaka 2014 mapema ili kumfanya mgombea wa CHADEMA akose nguvu kisheria kugombea Urais [Viongozi wa mkakati ni Mwigulu Nchemba na Nape].

Wapenzi wa democrasia wote nawataka msipuuze hili bali ni jambo nyeti na lenye uhakika kabisa toka kwenye vyanzo vya habari za kishushu,

Nawakilisha.
Asanteni.
 
jonathan1983 ,Wenzenu taranta wanazitumia ipasavyo, watu kama wewe unatumia kupiga majungu ya kisiasa.

Kajiandikishe kwenye kampuni ya uigizaji upate value for money kwenye hii taranta yako.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali ya sasa inavyoonekana haupo mbali na ukweli ila wakigundua issue imevuja watakushambulia subiri wanakuja
 
jonathan1983 ,wenzenu taranta wanazitumia ipasavyo, watu kama wewe unatumia kupiga majungu ya kisiasa.

Kajiandikishe kwenye kampuni ya uigizaji upate value for money kwenye hii taranta yako.
no, yale yaliyo ya ukweli lazima tuyaseme ili kulilinda taifa hili.
 
Kwa hali ya sasa inavyoonekana haupo mbali na ukweli ila wakigundua issue imevuja watakushambulia subiri wanakuja

Hata mimi nakuunga mkona, mleta mada hayupo mbali na ukweli, japo wasiopenda kusikia wanambeza, lakini wanaopenda kusikia nadhani wamepata ujumbe. Lakini pia binadamu huwa tuna undermine sana nguvu za Mungu, CCM wajue kama Mungu ameshapanga hata wafanye nini hawatafanikiwa, kwanza ndio wanazidi kumuuzi Mwenyezi Mungu zaidi.
 
Kumbe mleta mada mwenyewe una akili za bavicha!!!
Siku nikijikuta nawaza kiccm na kuonekana nakula kiccm basi sina tofauti na Maskini aliyefilisika upya!!!!? Akili ndogo hawajaanza kusumbua leo walianza toka Darasani kwa kuwa vinara wa usumbufu.
 
Hata mimi nakuunga mkona, mleta mada hayupo mbali na ukweli, japo wasiopenda kusikia wanambeza, lakini wanaopenda kusikia nadhani wamepata ujumbe. Lakini pia binadamu huwa tuna undermine sana nguvu za Mungu, CCM wajue kama Mungu ameshapanga hata wafanye nini hawatafanikiwa, kwanza ndio wanazidi kumuuzi Mwenyezi Mungu zaidi.
Na wewe unawasiliana na mungu siku hizi?
 
Na wewe jioni unarudi nyumbani kwamba umetoka kazini?

Kijana wa kiume hatakiwi kushinda kwenye majungu vijiweni.
 
Back
Top Bottom