Njama chafu za kuidhoofisha CHADEMA: ‘Tatizo ni Mbowe, Dk. Slaa’

Chadema wanajimaliza wenyewe.


Hii inanikumbusha hadithi ya tamaa za mzee fisi ya kufuatilia mkono wa binaadamu akitembea yeye fisi akiamini kuwa si muda mrefu mkono utadondoka afaidi
 
Adui yako akikusifia, utambue umefanya kosa, na bila shaka utakuwa unafanya kazi kwa manufaa yake.

Na pia ukiona adui yako anakazania sana au anakulaumu sana kwa uamuzi ulioufanya, utambue huo ndiyo uamuzi sahihi. Viongozi wa CHADEMA ambao CCM na mawakala wake hawawataki kabisa ni MBOWE NA DR. SLAA. Kwa msingi nilioueleza hapo juu, ni lazima kuwa HAWA NDIYO VIONGOZI BORA KABISA AMBAO CHADEMA KAMA INA NIA YA KUIONDOA CCM MADARAKANI, NI LAZIMA IENDELEE KUWA NAO. NA YEYOTE ANAYEKAZANIA SANA KUWAONDOA NI LAZIMA AANGALIWE KWA UMAKINI, MAANA YUMKINI ANAWEZA KUWA NI WAKALA WA CCM.

Viongozi wa CHADEMA wanaopigiwa sana debe na CHADEMA na mawakala wao, ni muhimu kuwachunguza sana maana kuna uwezekano mkubwa wapo CHADEMA KWA MANUFAA YA CCM. Ushahidi umepatikana kwa Zito ambaye mara nyingi alisifiwa na CCM, kumbe alikuwa ni mtu wao. Je, ni uharibifu kiasi gani Zito ameufanya ndani ya CHADEMA kwa miaka yote aliyokuwa kiongozi wa CHADEMA kwa manufaa ya CCM? Makosa kama hayo yasitokee tena. Matawi ya CCM ndani ya CHADEMA ni lazima yapukutishwe kabla hayajaathiri afya ya chama.

Mkuu ufafanuzi wako ni ukweli halisi,kwani ukweli ni kuwa c.c.m na mafisadi wake wote hawalali bila kuwaota freeman mbowe na dk.slaa kwani hawa ni roho ya chama chetu.
Siyo kwamba wakiondoka leo chadema itakufa la hasha ila mchango wao na utendaji kazi wao ni wa kipekee na bora zaidi hapa nchini.
-binafsi na wanachadema wote tupingane na kupambana na hii mikakati ovu ya c.c.m kupitia kwa msajili wa vyama ambaye amemua kutumika na wahujumu wa demokrasia.
 
acheni kuweweseka na kujipamba kupitia tz daima la udaku. Fanyeni baraza kuu,rekebisheni hicho kipengele mlichonyofoa kinyemela cha ukomo wa uongozi,hizi tirarira haziwasaidii kamwe

Uhuru na mzalendo ktk kopi 100,zinauzwa kopi 20 tu.
 
wakati unasema wanajimaliza jana mabalozi 6 wa ccm tanga wajiunga na cdm sasa nan anajimaliza?

Mkuu naona Ritz anasema cdm inajimaliza yenyewe kwa sababu ya kuwatetea wananchi na kupinga maovu ya magamba.
 
  • Thanks
Reactions: jme
Hivi kuna watanzania wanaamini Chadema ipo siku watachukuwa dola labda dola ya Marekani au ya Zimbabwe.

Ujue siku cdm ikichukua dola nyie magamba lazima muikimbie nchi,vinginevyo mtaozea jela.
 
Eti barua ya kwenda kwa wajumbe ilionyesha kipengele cha ukomo, kwa maana hiyo msajili ni mjumbe wa Chadema kwamba hiyo barua na yeye ilimlenga? Kama kwa wajumbe mlionyesha, ilikuwaje mkashindwa kuonyesha hicho kipengele katika barua iliyokwenda kwa msajili? Kuna nini mlikuwa mnaficha? Mtaipakazia CCM kila aina ya tuhuma, lakini hapa Chadema mnajizika wenyewe kwa kutetea uchafu wa viongozi wenu.
 
Mkuu naona Ritz anasema cdm inajimaliza yenyewe kwa sababu ya kuwatetea wananchi na kupinga maovu ya magamba.

Anataka cdm ife ili waendelee kutafuna keki ya nchi
 
na uhuru ni gazeti la nn?
Ni Gazeti makin linalotoa habari makini, za kweli na zilizochambuliwa na watu makini. Huwezi kukuta kwa wauza maandazi. Ila Tanzania Daima lipo mpaka chooni
 
ifweero, Lizabon, Ritz... Nyie hamjui Mnachofanya mnatetea maslai yamafisadi kwakua wanawapa hizo buku saba saba hapo Lumumba mwaka huu mtachemsha mbinu zote chafu tumezijua poleni sana subirini tunaelekea Magogoni
 
Uwanja wenu refa wenu na mpira wenu,je haki hupatikanaje kwa mazingira kama hayo ?

CHADEMA ndo imekwisha kufa,sasa mwaweweseka na nini nyie mindondocha-maccm!
CDM inapumulia mashine,watabaki wa kanda yenu hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom