Njaa !

Sharif

JF-Expert Member
Mar 13, 2011
2,450
1,777
Wakati ugonjwa wa kipindupindu ukiendelea kuitesa jamii ya Watanzania,njaa nayo imekuja kuongeza chumvi kwenye kidonda,huku nchi ikinukia harufu ya wategemewa kufukuzwa kazi na vibanda kuporomoshwa chini na kuziacha kaya kadhaa zikiwa zimetapakaa hovyohovyo mithili ya vifaranga vya kuku vilivyovamiwa na mbwa..
vyakula navyo bei juu !
mwaka mpya kazi ipo !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom