Njaa ya Ajabu

Njaa ya Ajabu

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,776
Weird world records: bizarre entries in the Guinness Book of World Records

strangest-diet_979922i.jpg
Strangest diet

Michel Lotito (France) (b. 15 June 1950) of Grenoble, France, known as Monsieur Mangetout, ate metal and glass from 1959 until his death last year. His diet since 1966 included 18 bicycles, 15 supermarket trolleys, seven TV sets, six chandeliers, two beds, a pair of skis, a low-calorie Cessna light aircraft and a computer. He is said to have provided the only example in history of a coffin (handles and all) ending up inside a man. By October 1997, he had eaten nearly nine tons of metal

Source:Telegraph
 
alaah kumbe kuna binadamu wanatembea tumboni na grinding machine :A S 13:
 
Nafuu kama sandu lake halikuwa la chuma lol!
 
Just curious chooni anaendaje

Zitakuwa zinatoka vyuma tupu, na bila shaka usikivu wa kugonga gonga mle chooni utakuwa wa kutosha kama shilingi unavyodondoka kwenye sinki!

daah sipati picha
 
Asee nitachelewa sana kuamini maana hawa watu wa ulaya wanatukuza sana nchi zao hata kusema uongo mtakatifu ilimradi watukuzwe wao na waonekane ni watu wa pekee sana duniani.Anyway nashukuru kutufahamisha wana JF wenzako
 
siwezi kuamini mazingaombwe...kitambi chote icho eti ni vyuma...hapana siwezi kuja kuamini mambo hayo jamani..vipi msalani sasa inakuwaje
 
Mzee anaonekana ana afya tele kwa kugonga vyuma kama menu.....ila bado ngumu kuamini hili
 
Huyu inawezekana ndio amekula ndege yote ya malysia angeulizwa
 
Usije kuta ni keki tu zimetengenezwa kwa maumbile ya hivyo vitu.......ebu ona kweli hicho kisu kinaweza kukata hicho chuma kweli.........??
 
Lazima haja kubwa yake ilikuwa inatumika kama mali ghafi ya viwanda vya nondo:-(
 
Back
Top Bottom