Njaa plus bangi plus viroba

Njaa plus bangi plus viroba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1410196980359.jpg
 
taifa la kesho litajengwa na walalahoi serikali isipowajali hawa vijana sasa hivi.Hapo sio kwamba wamependa ila wenye nazo siku zote huenda kwenye starehe na kukesha ili usiku uwe mfupi kwao lakini walalahoi hutafuta kilevi cha kuwapa usingizi mapema ili usiku uwe mrefu kwao
 
Hivi mpaka bench linamdondosha hana habari tu?
 
kuna siku nipiga viroba na bangi badala ya sigara sitasahau.
wachache wenye uwezo wa kuchanganya kwa pa1 ila baada ya hapo lazima uwe kichaa for sometimes.

Ukatembea uchi aisee
 
kuna siku nipiga viroba na bangi badala ya sigara sitasahau.
wachache wenye uwezo wa kuchanganya kwa pa1 ila baada ya hapo lazima uwe kichaa for sometimes.

Hahahahaa ungechukuliwa video ungekana kuwa si wewe
 
Back
Top Bottom