njaa ni noma jamani

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Jamaa mmoja baada ya kukaa siku tatu (3) ajapata chakula chochote njaa ilipomzidia akaenda stendi ya basi akajiangusha chini. wananchi waungwana wakamchukuwa wakampeleka hospitali kutibiwa walivyofika wakapewa kitanda, wakamuuliza unataka chakula gani? ajibu tukupe maji?akasema apana, soda je? apana.tukupe wali kuku? mgonjwa akijibu: ndio nipeni tajaribu jaribu kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom