Njaa na Siasa za Tanzania

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Katika uchaguzi mkuu uliopita, nikiwa katika harakati za kumkampenia mgombea fulani wa urais ndipo nilikutana na kauli ifuatayo. "hata kama akichaguliwa huyo rais unayempenda, Tz haitaendelea labda watu wote waliopo sasa waishe kije kizazi kingine ndipo Tz yaweza kuendelea maana waliopo wamekuwa mafisadi toka tumboni". Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kauli hii na ndipo nikaona ilikuwa na ukweli ndani yake. I'm sure wanasiasa wa bongo wanasumbuliwa na njaa na pindi wanapokuwa nje ya system huwa ni wakali sana juu ya serikali, lakini pindi wakiwa ndani ya system wanakukuwa wapole kama huwa, mfano mzuri ni CUF. Jambo hili limekuwa likiniumiza kichwa kufikiria juu ya mkombozi wa wanyonge(CDM) kuwa wanaweza wakaonekana kama watetezi wa wanyonge lakini pindi wakipata uongozi wa nchi wakageuka na kuwa mafisadi. Siasa ya Tz bwana njaa tupu, nawasilisha.
 
kama hawa walikuwa mafisadi tokea tumboni basi hata walio matumboni mwao ambao watazaliwa baadae watakuwa mafisadi.
 
Back
Top Bottom